Radio Tadio

Sera na Sheria

1 February 2024, 5:27 pm

TAKUKURU Katavi kufuatilia miradi ya shilingi bilioni 9.57

TAKUKURU wanaendelea kufaatilia utekelezaji wa Miradi 11 yenye thamani ya Shilingi Billioni 9.57 katika sekta ya elimu,Afya na ufundi stadi [VETA].Picha na Gladness Richard Na Gladness Richard-Katavi Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Katavi TAKUKURU wamepokea malalamiko…

24 January 2024, 3:24 pm

Wiki ya Sheria Wananchi Mjitokeze Kupata Elimu

“Hakimu Mfawidhi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Katavi amewaasa Wananchi kujitokeza kushiriki ili kupata Elimu ya masuala mbalimbali yanayohusu sheria ” Picha na Festo Kinyogoto. Na Festo Kinyogoto-Katavi Kuelekea maazimisho ya wiki ya sheria Hakimu Mfawidhi Mkuu wa Mahakama…

12 December 2023, 1:28 pm

Wananchi waomba kuanzishwa halmashauri mpya Makete

Na Mwandishi wetu – Makete Wananchi na wadau wa maendeleo wa kata 11 kati ya 23 za halmashauri ya wilaya ya Makete mkoani Njombe wameiomba serikali kuigawa halmashauri hiyo na kuazisha halmashauri mpya kutokana na jiografia ya wilaya hiyo. Kikao…

9 October 2023, 1:38 pm

Wananchi waombwa  kuacha kuwapa nguvu Kamchape

Wananchi wa mkoa wa Katavi waombwa  kuacha kuwapa nguvu na fursa watu wanaodhaniwa  kuwa na uwezo wa kufichua wachawi[Kamchape] Na John Benjamin – KataviWananchi wa mkoa wa Katavi wameombwa  kuacha kuwapa nguvu na fursa watu wanaodhaniwa  kuwa na uwezo wa kufichua wachawi[Kamchape]…

17 August 2023, 10:50 am

ZALHO kutoa msaada bure wa kisheria kwa wanzanizbari

Shirikala msaada wa kisheria na haki za binaadamu Zanzibar likielezea malengo yake ya kuwasaidia wananchi wanyonge Zanzibar ili waweze kupata haki zao za kisheria hasa kwa wale ambao watashindwa kuwa na mawakili wa kuwasaidia wanapohitaji msaada wa kisheria. Na Fatma…

15 August 2023, 10:15 am

Wananchi Walia na Madereva Wasiosimamia Sheria za Barabarani

Wananchi Manispaa ya Mpanda wamelalamikia baadhi madereva wa vyombo vya moto mkoani hapa kutozingatia sheria za usalama barabarani hali inayopelea ajali zisizo na ulazima.Wakizungumza na Mpanda Radio fm wameeleza changamoto wanayoipata kutokana na madereva kushindwa kuzingatia sheria za usalama wa…

6 July 2023, 10:39 am

Mbolea ya ruzuku yamweka matatani mfanyabiashara Iringa

Na Frank Leornad SERIKALI ya Mkoa wa Iringa imemnasa mfanyabiashara Maneno Yusuph Kivembele (50) mkazi wa Ilula wilayani Kilolo akihususishwa na tuhuma ya ununuzi wa mbolea ya ruzuku kwa njia ya udanganyifu na kuuza kwa wakulima kwa bei ya juu…