Radio Tadio

Sera na Sheria

10 February 2025, 4:41 pm

GGML yajivunia huduma za afya meli ya MV Jubilee Hope

Meli ya MV Jubilee hope imekuwa ikitoa huduma za afya kwa jamii inayozunguka visiwa mbalimbali vya Ziwa Viktoria. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya Geita Gold Minning Limited (GGML) imeendelea kujivunia jukumu lao la kudhamini huduma za afya zinazotolewa…

9 January 2025, 4:30 pm

Wananchi  Babati walalamika taka kutokuzolewa kwa wakati

Wafanyabiashara katika eneo la Machinga complex lililopo mjini Babati mkoani Manyara wameiomba serikali ya halmashauri ya mji wa Babati kuondoa taka zilizojaa katika kizimba cha kuhifadhi taka Na George Agustino Wafanyabiashara katika eneo la Machinga complex lililopo mjini Babati mkoani…

19 December 2024, 4:35 pm

Sotta Mining Sengerema kuanza ujenzi January 2025

Mradi wa uchimbaji mkubwa wa dhahabu uliopo Nyanzaga-Sengerema unatarajiwa kuanza kazi za awali za ujenzi wa mgodi ifikapo Januari, 2025. Na;Elisha Magege Wananchi wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazokuja kutokana na mgodi wa Sotta Mining Ltd unaotarajia…

5 December 2024, 12:40 pm

GGML kuendelea kuwajibika kwa jamii Geita

GGML yasema bado iko bega kwa bega na wananchi kwa kushiriki katika shughuli mbalimba za maendeleo katika jamii bila kuchoka. Na Mrisho Sadick: Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) umewahakikishia wananchi wa mkoa wa Geta kuwa utaendelea kuwajibika ipasavyo…

22 October 2024, 5:38 pm

GGML yakabidhi pikipiki 50 kwa Jeshi la polisi Geita

GGML imeendelea kushirikiana na serikali katika kufadhili shughuli mbalimbali za maendeleo mkoani Geita ikiwa ni ajenda yao ya kunufaisha Jamii inayozunguka mgodi huo. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imekabidhi pikipiki 50 kwa Jeshi…

14 October 2024, 11:54 am

GGML kuendelea kufadhili miradi kupitia CSR

Mkoa wa Geita umeendelea kujivua uwepo wa mgodi wa GGML kwa kuwa umekuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi katika nyanja mbalimbali hususani katika sekta za elimu na afya. Na: Ester Mabula – Geita Mgodi wa GGML umeahidi kuendelea kushirikiana na…