Radio Tadio

Nishati

28 Aprili 2023, 7:33 mu

DC Maswa awataka wananchi kupisha mradi wa umeme

Alex F. Sayi Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu Mhe. Aswege Kaminyoge amewataka wakazi  Wilayani hapo  wanaopitiwa na Mradi wa umeme toka Ibadakuli Mkoani Shinyanga hadi Bariadi Simiyu wenye msongo wa Kilovoti 220 kuachia maeneo yao kwaajili ya utekelezaji…

10 Aprili 2023, 11:50 mu

Nishati mbadala kuwanufaisha wakazi wa Makang’wa

Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha kutoka Mfuko wa umoja wa wanawake( UWT) wilayani humo unatarajia kunufaisha moja ya kikundi cha wanawake katika kijiji hicho. Na Fred Cheti Baadhi ya wanawake wa kijiji cha Makang’wa wilayani Chamwino wanatarajia kunufaika na mradi…

4 Machi 2023, 5:54 um

Kupanda kwa bei ya mafuta kilio kwa abiria Katavi

KATAVI Abiria wa vyombo vya moto mkoani Katavi wameiomba serikali ipunguze bei ya mafuta kwani hali hiyo ina athiri shughuli zao za kila siku. Wakizungumza na mpanda Radio fm abiria hao wamesema kuwa kwa sehemu walizokua wakienda kwa Shilingi mia…

8 Febuari 2023, 12:50 um

Ukosefu wa nishati ya umeme yaleta chuki kwa viongozi

Imelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya nishati ya umeme kwa baadhi ya vitongoji katika Kata ya Idifu imesababisha baadhi wananchi kujenga chuki kwa viongozi na kutaja kitendo cha kukosekana kwa nishati hiyo ni uzembe wa viongozi. Na Victor Chigwada. Mwenyekiti…

22 Januari 2023, 10:18 mu

Matumbulu walalamika gharama za umeme

Na; Mindi Joseph. Gharama kubwa ya kuunganisha umeme wa TANESCO katika  mtaa wa Kusenha kata ya Mpungunzi imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi kuunganisha umeme huo. Gharama za kuunganisha umeme wa TANESCO ni zaidi ya laki tatu tofauti na umeme wa…

13 Januari 2023, 4:11 um

Vijiji 64 vyapata umeme jiji la Dodoma

Mkoa wa Dodoma una miradi mitano ya Umeme Vijiji ambapo mradi uliokamilika umewezesha kupelekea umeme kwa maeneo 80 ndani ya Vijiji 64. Thomas mbaja ni mwakilishi wa REA amefafanua hilo ikiwa ni utekelezaji wa kuhakikisha umeme vijijini .

8 Disemba 2022, 5:33 um

Bei za mafuta zapokelewa Kwa mikono miwili Katavi

MPANDA Madereva wa vyombo vya moto Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi wametoa maoni yao juu ya mwenendo wa kushuka na kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizel. Wakizungumza na Mpanda Radio fm kwa nyakati tofauti madereva…

1 Disemba 2022, 8:11 mu

Wakazi wa Silwa walalamika kukosa huduma ya Umeme

Na; Victor Chigwada .  Pamoja na jitihada za kusambaza umeme zinazo endelea nchini katika maeneo yaliyopo nje ya miji lakini bado baadhi ya maeneo yameendelea kuwa na kilio cha huduma hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa…