Nishati
10 November 2024, 08:44 am
DC Mtwara azindua uchaguzi Ndile Cup
Huu ni msimu wanne wa mashindano hayo ambayo yamekuwa yakijigeuza kila mwaka kutokana na matukio makubwa ya kitaifa ambapo mwaka 2022 yalitwa Sensa Ndile Cup na mwaka yanajulikana na kama Uchaguzi Ndile Cup. Na Musa Mtepa Mkuu wa Wilaya ya…
3 November 2024, 10:57 am
Mudy Ray aahidi saruji, vifaa vya michezo shule ya msingi Ruvula
Hapo awali shule ya msingi Ruvula ilikuwa shule shikizi ambapo mwaka 2023 ilipata usajili rasmi wa kutambulika kuwa shule kamili na mwaka 2024 kwa mara ya kwanza imehitimisha wanafunzi 20 wa darasa la saba huku 17 kati yao wakielekea kidato…
12 October 2024, 11:00 am
Mtwara DC, NMB wahamasisha wananchi kujiandikisha kupiga kura
Lengo la jogging na michezo mingine ni katika kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wapiga kura lilionza rasmi jana October 11, 2024 kote nchini. Na Musa Mtepa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mtwara DC, Abeid Abeid…
11 October 2024, 6:34 pm
Sendiga katika foleni kujiandikisha daftari la mkazi.
Zoezi la kujiandikisha katika daftari la mkazi katika mtaa wa mrara kata ya Babati wilayani Babati mkoani Manyara limeanza rasmi leo ambapo wananchi wametakiwa kujitokeza katika zoezi hilo ili watimize haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wao wa mtaa…
September 30, 2024, 4:55 pm
Wakulima wa pamba Shinyanga wafundwa kilimo bora
Maafisa ugani katika kata 119 miongoni mwa kata 130 wamepatiwa pikipiki pamoja na vyombo vya kupimia ubora wa ardhi ili kuwafikia wakulima huku akiweka wazi kushuka kwa uzalishaji wa zao hilo katika mkoa wa Shinyanga. Na Sebastian Mnakaya Mkuu wa…
27 September 2024, 7:35 pm
Serikali yawaonya wananchi watakaovuruga uchaguzi
Wakati serikali ikiendelea na maandalizi ya uchaguzi wa serikli za mitaa, wananchi wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kushiriki uchaguzi huo kwa amani na utulivu. Na Mzidalfa Zaid Wananchi wilayani Babati mkoani Manyara ambao wamekidhi vigezo vya kupiga kura wamehimizwa kujitokeza…
1 September 2024, 11:06 am
Tamasha la Red Scopion La vunja rekodi mkoani Mtwara
“Malengo yetu sisi ni kutambulika na chama cha soka mkoani Mtwara (MTWAREFA) pamoja na kuwa timu kubwa itakayo kuwa inashiriki mashindano mbalimbali ndani na nje ya mkoa wa Mtwara lakini pia kuwa timu ya kukuza na kuuza vipaji “ Na…
3 August 2024, 18:02 pm
Mashabiki wa Simba Mtwara wafanya usafi, dua kuwaombea wachezaji
Matarajio makubwa kwa mashabiki wa timu ya Simba ni kuona inafanya vizuri katika mashaindano mbalimbali itakayoshiriki timu hiyo kwa msimu wa 2024/2025 na hii ni kutokana na kufanya usajili unaotoa mategemeo makubwa kwa mashabiki wao. Na Musa Mtepa Mashabiki wa…
27 July 2024, 11:57 am
Maajabu ya simu ya ZTE Blade A34 kutoka Tigo
Kampuni ya mawasiliano nchini Tigo imeendelea kuboresha huduma zake kwa kuwafikia watanzania zaidi ya milioni 20 ambao wanaendelea kunufaika na huduma zao. Na: Ester Mabula – Geita Meneja wa Tigo mkoa wa Geita Willington Byekwaso amesema Tigo imeendelea kutoa ofa…
18 July 2024, 8:07 pm
Waziri Nape aitaka jamii kutumia vizuri mitandao
Mkoa wa Mwanza inajengwa minara 50 ya mawasiliano na mfuko wa mawasiliano kwa wote UCSAF itayowanufaisha zaidi ya wakazi 885,420 wa vijijini. Na: Elisha Magege Waziri wa Habari Mawasiliano na teknolojia Nape Nauye amewataka wazazi na walezi nchini kuwafundisha vijana…