Radio Tadio

Nishati

November 20, 2025, 3:02 pm

Muziki wawaongezea utulivu Ng’ombe wakati wa kukamuliwa

Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe  wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema  amewagundua  ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…

25 October 2025, 14:45 pm

Vikundi vya Jogging Mtwara vyahamasisha uchaguzi wa Amani

Vikundi kumi vya jogging Mtwara Mikindani vimeshiriki mbio fupi kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, zikiwa na kaulimbiu “Mazoezi kwa Afya, Uchaguzi wa Amani ni Msingi wa Maendeleo.” Na Musa Mtepa MTWARA-Vikundi kumi vya jogging kutoka…

September 21, 2025, 8:56 pm

Machifu Songwe waombea uchaguzi

Umoja wa Machifu umefanya dua maalumu kusisitiza amani, utulivu na mshikamano Na Devi Mgale UMOJA wa Machifu Mkoa wa Songwe umefanya dua maalumu ya kuombea uchaguzi wa mwaka huu uwe wa amani na utulivu. Dua hiyo imefanyika Septemba 20, katika…

23 August 2025, 10:41 pm

TAKUKURU yakemea vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Manyara imewataka wagombea nafasi mbalimbali za uongozi kutotoa rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Na Mzidalfa Zaid Hayo yameelezewa leo na afisa TAKUKURU mkoa wa Manyara Hamis Mwinyi,…

18 August 2025, 10:23 am

Watuma salamu nchini wapeleka faraja kwa wagonjwa Simiyu

“Kufanya matendo ya huruma kwa wahitaji siyo utajiri bali ni kuwakumbuka wenye uhitaji kama vitabu vitakatifu vya dini vinavyosema kuwa dini ya kweli ni kuwakumbuka wenye uhitaji hivyo basi jamii yenye uwezo ni bora ikawa na moyo wa kuwakumbuka wenzetu…

6 August 2025, 2:21 pm

Madereva bodaboda Mpanda watakiwa kuwa na umoja

Picha ya bodaboda zilizoegeshwa kwenye moja ya kituo. Picha na Roda Elias “Wenyeviti wa vijiwe watilie mkazo jambo hili” Na Roda Elias Madereva pikipiki maarufu kama bodaboda wa  kata ya Mpanda Hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuwa na…

16 July 2025, 12:07 pm

Emboreet sekondari yageuza kinyesi kuwa nishati ya kupikia

Shule ya Sekondari Embooreet iliyopo wilayani Simanjiro mkoani Manyara, inatumia bayogesi inayotokana na kinyesi cha wanafunzi kama chanzo kikuu cha nishati ya kupikia. Teknolojia hiyo, iliyosimikwa na Eclat Foundation kwa kushirikiana na Kamatec ya Arusha, imelenga kupunguza utegemezi wa kuni,…

3 July 2025, 11:24

TANESCO: Mradi wa umeme megawati 49.5 upo 10%

Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limeendelea kuhakikisha linafikisha huduma ya umeme kwa wananchi Na Emmanuel Matinde Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limesema kazi ya utekelezaji wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Megawati 49.5 katika Mto Malagarasi wilayani Uvinza mkoani Kigoma,…