Radio Tadio

Miundombinu

16 October 2023, 11:48 am

Wananchi Tukuyu walilia matuta kupunguza ajali za barabarani

Na Sabina Martin Rungwe-MbeyaKufuatia uwepo wa ajali za mara kwa mara katika eneo la ushirika mji mdogo wa Tukuyu wilayani Rungwe mkoani Mbeya wananchi wa eneo hilo wameiomba serikali kuweka matuta katika eneo hilo. Baadhi ya wananchi waliozungumza na chai…

11 October 2023, 17:13

Kiwanda cha kutengeneza meli kujengwa Kigoma

Hatua ya kuanza ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza meli kinatjwa kuwa ni miongoni mwa mikakati ya Serikali kuboresha huduma za usafirishaji ndani ya Ziwa Tanganyika. Na, Tryphone Odace Serikali Kupitia Wizara ya Uchukuzi, imetia Saini makubaliano ya kuanza ujenzi wa…

10 October 2023, 5:48 pm

Pangani kupata usafiri wa majini wa uhakika

“Fanyeni kazi mkiwa na amani, hayo mengine mlionieleza mimi ni mlezi wenu nitakwenda kuyashughulikia.“ Na Saa Zumo Halmashauri ya Pangani mkoani Tanga iko mbioni kupata uhakika wa usafiri wa majini baada ya kufanya mazungumzo na wawekezaji wa usafirishaji wa majini.…

9 October 2023, 8:16 pm

Vilindoni yakabiliwa na upungufu wa matundu ya vyoo

Shule zinapaswa pamoja na mambo mengine kuwa na vyoo bora na vya kutosha kwa walimu na wanafunzi. Na Mindi Joseph. Shule ya Msingi Vilindoni inakabiliwa na uhaba wa matundu ya vyoo 15. Shule hiyo inajumla ya matundu 9 ya vyoo…

6 October 2023, 10:29 am

Shilingi bilioni 70 zatengwa kuwalipa wakandarasi nchini

Na Frank Leonard Serikali imetangaza kutenga Sh bilioni 70 kila mwezi kwa ajili ya kulipa madeni ya wakandarasi wa ndani na nje wanaotekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi nchini. Akitoa taarifa hiyo leo mara baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa…

6 October 2023, 08:01

Wananchi waipa kongole serikali kwa ujenzi wa madaraja ya mawe

Teknolojia ya ujenzi wa madaraja kwa kutumia mawe imetajwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa wilaya za Kigoma baada ya kurahisisha shughuli za usafirishaji. Na. Tryphone Odace Wananchi wa vijiji vya Nyamidaho, Bitale Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na Nyamihanga wilaya…