Miundombinu
19 Juni 2025, 18:53
Familia inavyochangia ukuaji wa viongozi wanawake
“Mabadiliko makubwa yameanza kujitokeza ambapo wanawake wameanza kushika nafasi muhimu za uongozi katika nyanja mbalimbali kama siasa, uchumi na hata uongozi katika taasisi za dini.” Na Mwanahamisi Chikambu Katika historia ya jamii nyingi duniani, mwanamke ameonekana kuwa nyuma katika masuala…
18/06/2025, 14:26
Mawakala watoa mabasi saba Geita kwenda Busisi
Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi limewakosha watu wengi kwakuwa litaondoa adha ya wananchi kuchelewa kutokana na kusubili vivuko Na Mrisho Sadick: Mawakala wa Mabasi yaendayo mikoani na maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Geita wametoa mabasi saba…
14 Juni 2025, 12:00 um
Makala kuhusu Huduma za Afya
Huduma za Afya zilivyoboreshwa katika Zahanati ya Bulima iliyopo Wilaya ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga baada ya Wananchi Kuibua changamoto za Uhaba wa Watumishi, Masuala ya wagonjwa kuombwa Rushwa na Lugha chafu zilizokuwa zinatolewa na Watoa Huduma kwa Wagonjwa. Baadae…
13/06/2025, 23:05
Waliovunjiwa nyumba zao Isingiro wajengewa mpya
Tukio hili liliwashangaza wengi kwani licha ya mtambo huo kuparamia makazi hayo na kuharibika vibaya hakuna mtu hata mmoja aliyepoteza maisha. Na Mrisho Sadick Familia nne katika kitongoji Cha Isingiro Kata ya Lwamgasa wilayani Geita Mkoani Geita zilizo vunjiwa makazi…
12/06/2025, 15:56
Nyang’hwale yapata hati safi miaka 5 mfululizo
Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale imeendelea kupata hati safi kutoka kwa mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG Na Mrisho Sadick: Kaimu mkuu wa mkoa wa Geita ambae ni mkuu wa mkoa wa Kagera Hajat Fatma Mwasa amewataka…
06/06/2025, 17:50
Bilioni 19 kujenga stendi mpya Manispaa ya Geita
Matamanio ya muda mrefu kwa wakazi wa Manispaa ya Geita yakuahidiwa kituo cha kisasa cha mabasi ya abiria huenda yakafanikiwa baada ya Manispaa hiyo kusaini mkataba wa ujenzi. Na Kale Chongela: Halmashauri ya Manispaa ya Geita imesaini mkataba wa ujenzi…
4 Juni 2025, 15:59
Wanahabari wanawake na rushwa ya ngono
Rushwa ya ngono ndani ya vyombo vya habari, hujumuisha kubadilishana tendo la ngono na ajira, au tendo la ngono na uhakika wa usalama wa kazi na wakati mwingine upendeleo katika kuchapishwa kwa habari. Utafiti uliochapishwa mwaka 2022 na Shirika la…
03/06/2025, 18:27
Vikundi 53 vyapokea mikopo ya milioni 303 Nyang’hwale
Wajasiriamali wilayani Nyang’hwale Mkoani Geita watakiwa kutumia mikopo ya asilimia 10 kukuza biashara zao Na Mrisho Sadick: Serikali wilayani Nyang’hwale Mkoani Geita imelitaka shirika la maendeleo ya viwanda vidogo (SIDO) kuongeza nguvu ya kutoa elimu , ujuzi na utambuzi wa…
29/05/2025, 12:03
Zaidi ya Tsh. Mil 14 yaokolewa na TAKUKURU mkoa wa Geita
Katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Marchi mwaka huu, TAKUKURU mkoa wa Geita imefanikiwa kuokoa jumla ya shilingi 14,221,567 katika miradi minne ya elimu ambayo ilibainika kuwa na mapungufu. Na: Ester Mabula: Akitoa taarifa mbele ya waandishi wa habari leo…
27/05/2025, 14:41
DC Komba akabidhi mifuko 538 ya saruji Geita DC
Jumla ya mifuko 538 ya saruji imetolewa katika ya mifuko 1,071 iliyoahidiwa ili kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Afya, elimu na miundombinu. Na: Ester Mabula: Mkuu wa wilaya ya Geita Mhe. Hashim Abdallah Komba leo Mei…