Radio Tadio

Miundombinu

05/05/2023, 15:45

Kondoa watakiwa kukamilisha miradi ya maendeleo kwa wakati

Na Mindi Joseph. Katibu Tawala Mkoa wa dodoma Bw. Ally Senga ameangiza ujenzi wa Miradi ya maendeleo ya kimkakati inayotekelezwa katika Halmashauri ya Kondoa Mji kukamlika ifikapo June 15 mwaka huu. Ameyabainisha hayo baada ya kutemebelea Miradi hiyo ikiwemo shule,…

26/04/2023, 15:01

Operesheni ya kukamata wezi wa vyuma yaendelea Mpwapwa

Katika oparesheni hiyo ametoa muda kwa wale wote walio uziwa vyuma hivyo bila kujua wavikabidhi kwa watendaji. Na Fred Cheti. Mkuu wa Wilaya ya Mpwampwa Mhe.Sophia Kizigo amesema wanaendelea na operesheni maalum ya kukamata watu wanaoiba vyuma vilivyofungwa kwenye minara…

25/04/2023, 13:36

Mzogole waishukuru Serikali kwa kuanza ujenzi wa daraja

Ujenzi wa daraja hilo unafuatia baada ya  kujengewa shule kubwa ya Sekondari iliyopo makao makuu ya kata, adha zilizowasumbua wananchi hao tangu kupatikana kwa uhuru wa nchi. Na Bernad Magawa. Wananchi wa kijiji cha Mzogole kata ya Mpinga wilayani Bahi…

24/04/2023, 13:20

Uongozi wa kijiji wakwamisha ujenzi wa shule ya sekondari Manungu

Wananchi wamesema wao hawana tatizo bali wanataka viongozi wafikie muafaka kuwa shule hiyo ijengwe wapi. NA Bernadetha Mwakilabi, Kongwa Wananchi wa kijiji cha Manungu kilichopo kata ya Sejeli wilayani Kongwa wameulalamikia uongozi wa halmashauri ya kijiji hicho hususani mwenyekiti kwa…

21/04/2023, 14:37

Serikali yajenga nyumba bora za walimu Bahi

Katika hatua nyingine kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ilibaini Mapungufu katika ujenzi wa vyumba viwili vya Maabara shule ya sekondari Chonama. Na. Bernad Magwa. Walimu wa shule za msingi wilayani Bahi wameishukuru serikali kwa kuwajengea nyumba bora za makazi…

19/04/2023, 12:23

CCM Bahi yataka ujenzi wa stendi ya mabasi uchunguzwe

Suala la changamoto ya stendi mpya ya mabasi wilayani Bahi limekuwa likilalamikiwa na wananchi kwa muda mrefu kutokana na changamoto zilizopo eneo la stendi lakini adha kubwa ikiwa ni ongezeko la nauli mara mbili kutoka Bahi mpaka Dodoma mjini. Na…

18 Aprili 2023, 9:40 um

Walimu Mlele Wahakikishiwa Mazingira Rafiki

MLELE Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga amewahakikisha Walimu mazingira rafiki ya uendaji kazi wakati wa utekelezaji wa majukumu yao waliyopewa na serikali. Mwanga ametoa kauli hiyo wakati akifungua kikao cha Wadau wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Mlele…