Maji
23 January 2024, 5:55 pm
Vyanzo vya maji asili siyo salama zaidi kipindi hiki cha mvua Geita
Serikali wilayani Geita imeendelea kuboresha huduma ya upatikanaji wa maji safi ili kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Na Mrisho Shabani: Serikali wilayani Geita imewataka wakazi wa Kata za Katoro , Ludete na Nyamigota wilaya humo kuepuka kutumia maji ya kwenye…
20 January 2024, 9:48 am
Mradi wa Kata 5 kunufaisha watu zaidi ya laki moja Geita
Serikali imedhamiria kumaliza changamoto ya maji kwa kuendelea kutekeleza miradi mikubwa ya maji hususani vijijini. Mrisho Shabani: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 10.8 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa maji wa…
16 January 2024, 12:43 pm
Upatikanaji wa maji Bunda kufikia 92% mwaka huu
Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika itafanya upatikanaji wa maji mjini Bunda kufikia asilimia 92. Na Adelinus Banenwa Mamlaka ya maji Bunda BUWASSA imesema miradi yote ya maji inayotekelezwa mjini Bunda ikikamilika…
4 January 2024, 7:45 pm
Wakazi Kisondela Rungwe wapeleka kilio cha maji kwa spika wa bunge
Suala la maji limekuwa changamoto kubwa kwa wananchi wa wilaya ya Rungwe licha ya kuwepo kwa vyanzo vingi vya maji ndani ya wilaya hiyo. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula wananchi wa Kijiji cha Kibatata Kata ya Kisondola Wilaya ya Rungwe Mkoani…
3 January 2024, 10:27 am
Zaidi ya vijiji 5 maji ni changamoto Geita
Vijiji vitano vya kata ya Bukondo mkoani Geita havina huduma za maji huku zahanati ya Bukondo inayohudumia vijiji vitano katika kata hiyo ikiwa na watumishi wawili tu. Na Zubeda Handrish- Geita Wananchi wa kata ya Bukondo mkoani Geita wamemweleza changamoto…
27 December 2023, 20:03
Kyela:Serikali kumtua ndoo mwanamke Kyela
Jumla ya shilingi bilioni nne zimetolewa na serikali ya Tanzania kwa wananchi wilayani Kyela ili kukamilisha mradi wa ujenzi wa mtandao wa maji safi na salama kutoka halmashauri ya Busokelo. Na Masoud Maulid Wananchi wilayani Kyela wameanza kuwa na matumaini…
16 December 2023, 12:01 pm
DC Maswa: Wananchi tunzeni vyanzo vya maji
Wadau wa maji na Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji ili kuweza kukabiliana na ukame unaosababishwa na shughuli za kijamii pamoja na mabadiliko ya tabia nchi Na Daniel Manyanga Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Mhe.Aswege Kaminyoge amewataka Wananchi…
15 December 2023, 10:07
Milioni 430 zaondoa kero ya maji kata ya Businde Kigoma
Wakazi wa kata ya Businde Manispaa ya Kigoma Ujiji wameondokana na adha ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa mazingira (KUWASA) kukamilisha mradi wa bomba la maji lenye urefu wa kilometa…
12 December 2023, 10:11 pm
Ruwasa Katavi kuongeza ukusanyaji mapato kupitia mfumo mpya wa malipo
Picha na Mtandao Mfumo huo utasaidia katika ukusanyaji mapato kwa kuwa wateja watalipia bili za huduma ya maji kwa njia ya simu na fedha hizo kuingia katika mfumo wa malipo ya serikali. Na Betord Benjamini- Katavi Wakala wa Maji na…
12 December 2023, 4:43 pm
Maryprisca: Vitongoji vyote Tiring’ati kupata maji ya ziwa Victoria
Naibu Waziri wa Maji Mhe Maryprisca Mahundi amefanya ziara katika jimbo la Bunda huku akiahidi vitongoji vyote vya kijiji vha Tiring’ati kupatiwa huduma ya maji. Na Adelinus Banenwa Naibu Waziri wa Maji Mhe Maryprisca Mahundi amefanya ziara katika jimbo la…