Maji
14 August 2025, 4:17 pm
Wajumbe wa CCM Mikononi mwa TAKUKURU Geita
Wakati joto la uchaguzi Mkuu likiendelea kupanda TAKUKURU nayo imekaa mguu sawa kuhakikisha inakabiliana na vitendo vya Rushwa. Na Mrisho Sadick – Geita Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Geita imewakamata nakuwahoji baadhi ya wajumbe wa…
13 August 2025, 7:11 pm
BOT yatoa agizo kuhusu utunzaji wa noti
Na Mwandishi wetu BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imewasihi Wakazi wa mikoa ya Nyanda za Juu kuzitunza vizuri fedha aina ya noti ili kutekeleza sheria za nchi. Meneja Msaidizi idara ya uchumi na takwimu…
9 August 2025, 8:32 pm
Wananchi watakiwa kuacha tabia ya kukopa mikopo umiza
Tanzania Commercial Banki (TCB) kwa mwaka jana imetoa mikopo zaidi ya shilingi bilioni 360 kwa wabiashara wadogo na wakati kwa vigezo rafiki. Na Sebastian Mnakaya Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuachana na mikopo kwenye taasisi za kifedha zisizo rasmi…
23 July 2025, 18:38
Ubalozi wa amani PPA Kagera wanolewa
Taasisi ya Ubalozi wa Amani Mkoa wa Kagera ni moja kati ya taasisi makini zinazoamini katika huduma bora baada ya kupata mafunzo maalum kuhusu mbinu za ulinzi wa amani nchini Theophilida Felician Wanachama wa taasisi ya ubalozi wa amani PPA…
16 July 2025, 6:14 pm
Yapi madhara vijana kutumika vibaya kwenye siasa?
Msikilizaji na mdau wa Storm FM Sauti ya Geita karibu kusikiliza Makala ya Tafakari Pevu inayoangazia madhara ya vijana kutumika vibaya kwenye siasa kuelekea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Makala hii imeandaliwa na timu nzima ya Storm FM
10 July 2025, 5:17 pm
Viongozi Kahama watakiwa kusikiliza, kutatua kero za wananchi
”kasikilizeni na kuzitatua changamoto mbalimbali za wananchi wenu pamoja na kushirikiana katika suala ya maendeleo” Mboni Mhita Na Sebastian Mnakaya Viongozi wa wilayani ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kusikiliza na kutatua changamoto mbali mbali za wananchi wao pamoja na…
3 July 2025, 20:25
Vigogo wa migodi waenguliwa kwenye nafasi zao Simiyu
“Hatuwezi kufikia malengo kwa sitaili hii lazima tuheshimiane kwa kuzingatia sheria,miongozo na miiko ya kazi hivyo lazima katika safari ya mafanikio kuna watu tunapaswa tuachane nao kabisa ili safari hii iweze kwenda mbele kwa kasi tunayotakiwa ili kufikia malengo ya…
3 July 2025, 5:39 pm
102 wajitokeza kuwania ubunge mkoa wa Geita
Baada ya zoezi la uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania nafasi za ubunge na udiwani kumalizika sasa joto limehamia kwenye hatua ya uchujaji wagombea. Na Mrisho Sadick: Wanachama wa CCM 102 Kutoka Majimbo tisa ya uchaguzi Mkoani Geita wamejitokeza…
1 July 2025, 10:34 pm
Kahama kuwa mji wa kisasa ifikapo 2050
Kupitia mradi wa Mpango Kabambe Kidikitali, Kahama kuwa mji wa kisasa ifikapo 2050 Na Sebastian Mnakaya Baadhi ya Migogoro ya ardhi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inakwenda kufikia mwisho baada ya kuanza kwa mradi wa Mpango Kabambe wa kidikitali…
1 July 2025, 17:12
Wakiukaji sheria za uuzaji wa dawa muhimu wakalia kuti kavu Simiyu
“Bado tunasafari kubwa sana katika kuelimisha jamii ya watoa huduma wa dawa muhimu za binadamu maana wengi wao wanakiuka mashariti ya leseni zao bahati mbaya sana hata wanaohudumiwa nao wanaingia kwenye makosa yale yale”. Na, Daniel Manyanga Mamlaka ya dawa…