Maji
19 Julai 2022, 1:35 um
Serikali yatenga bilioni 387. 73 kwaajili ya maji vijijini
Na;Mindi Joseph . Serikali imetenga Shilingi Bilion 387.73 kwa ajili ya uwekezaji wa huduma ya maji maeneo ya vijijini ili kutatua changamoto inayowakabili wananchi. Akizungumza leo jijini Dodoma na waandishi wa habari kuhusu utekelezaji wa shughuli mbalimbali Mkurungezi Mkuu wa…
11 Julai 2022, 2:02 um
Wakazi wa Mlowa bwawani wapata huduma ya maji safi na salama
Na;Mindi Joseph . Imeelezwa kuwa kukamilika kwa ujenzi wa tenki la maji linalojengwa Mlowa Bwawani litasaidia wananchi kupata maji safi na salama na kuondokana na kutumia maji ya chumvi. Taswira ya habari imezungumza na Diwani wa kata hiyo Andrew Richard…
28 Juni 2022, 9:17 mu
Kisima cha maji chaleta Neema kwa wakazi wa Farkwa.
Na ;Victor Chigwada. Kupatikana kwa mita ya kisima Cha maji katika Kijiji cha Farkwa imesaidia kupunguza changamoto ya maji katika eneo hilo. Akizungumza na taswira ya habari Diwani wa Kata hiyo Bw.Stephano Patrick amekiri hali ya upatikanaji wa maji Kijiji…
31 Mei 2022, 1:30 um
Uhaba wa maji Suguta ni kikwazo cha ndoa nyingi
Na;Mindi Joseph . Wananchi Kijiji cha Suguta wilayani kongwa wameiomba serikali kuwatatulia changamoto ya maji ambayo inawakabili kwa Muda mrefu. Taswira ya habari imezungumza na Baadhi ya wanawake ambapo wamesema wamekuwa wakilazimika kukaa kisima kwa muda mrefu wakisubiria kuchota maji.…
6 Mei 2022, 3:13 um
Mazae waendelea kupata changamoto ya maji
Na,Mindi Joseph. Changamoto ya upatikanaji wa maji bado inaendelea kuwakabili wananchi wa kijiji cha mazae wilayani mpwapwa. Taswira ya habari imezungumza na Mwenyekiti wa kijiji cha mazae steven Makasi ambapo amesema changamoto hii imekuwepo kwa muda kirefu. Ameongeza kuwa wananchi…
Novemba 4, 2021, 4:06 um
KAHAMA: halmashauri ya Msalala kupokea zaidi ya shilingi bilioni mbili.
Serikali imetoa fedha kiasi cha shilingi bilioni mbili na milioni mia nne na kumi,kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga, ikiwa ni fedha za ustawi wa maendeleo ya Taifa na mapambano…
Oktoba 2, 2021, 2:34 um
Kahama:wakurugenzi kusimamia mabaraza ya wazee.
Serikali mkoani Shinyanga imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote sita kuhakikisha wanasimamia na kuyawezesha mabaraza ya wazee ili yaweze kufanya kazi kikamilifu pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shuguli za wazee. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa…
24 Juni 2021, 1:44 um
Wizara ya Afya yazindua mpango mkakati wa miaka mitano utakao gharimu shilingi t…
Na;Mindi Joseph. Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii jinsia,wazee na Watoto kwa kushirikiana na wadau wa Maendeleo,imezindua mpango mkakati wa miaka mitano utakaogharimu Tsh.Trilioni 9.4 kila mwaka. Akizungumza katika uzinduzi mkakati huo leo Juni, 24,2021 Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii…
30 Machi 2021, 1:03 um
Maboresho yachangia ongezeko la mahudhurio ya kliniki kwa wajawazito
Na; Mariam Matundu. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amesema Wizara ya Afya imeboresha huduma za afya ya uzazi nchini katika kipindi Cha Julai 2020 Hadi Februari 2021 ambapo jumla ya wajawazito 1,165,526…