Radio Tadio

Maji

26 October 2024, 07:51

REGROW kutatua changamoto za wananchi maeneo ya hifadhi

Malalamiko yatasikilizwa kwa umakini, na utapata mrejesho mara moja. Hifadhi ya Taifa Ruaha na Mradi wa REGROW wanahakikisha usalama na ustawi wa jamii yako. REGROW ni Mradi wa Serikali unaofadhiliwa na Benki ya Dunia kwa Lengo la kuboresha usimamizi wa…

20 October 2024, 8:20 pm

UVCCM Geita yaonya madai ya vijana kutishwa

Joto la uchaguzi wa serikali za mitaa limeendelea kupanda kila kukicha huku vijana wakianza kuona dalili za kukatishwa tamaa kuwania nafasi za uongozi. Na Mrisho Sadick: Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita umekemea vikali madai…

2 October 2024, 3:33 pm

Mchungaji awa mpiga ramli chonganishi kwa waumini wake Maswa

“Watu kwenda kanisani kuombewa kutokana na changamoto zao siyo dhambi lakini hatuwezi kuwafumbia macho baadhi ya watumishi wa Mungu ambao wanageuka kuwa wachonganishi kama na wao waganga wa kienyeji ambao wanatumia ramli chonganishi, twendeni tukafanye kazi ya Mungu na siyo vinginevyo.”…

30 September 2024, 5:31 pm

Katibu ACT Wazalendo ziarani wilayani Mbogwe

Chama cha ACT Wazalendo kimeendelea na ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali nchini ambapo awamu hii wanaendelea na ziara katika mikoa ya kanda ya ziwa. Na: Ester Mabula – Geita Katibu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado Septemba 29, 2024 akiwa…

26 September 2024, 08:35

Mabalozi EU wahimiza wakimbizi Nyarugusu kupata haki zao

Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na mashirika ya umoja wa mataifa wameendelea kuhamasisha wakimbizi waliopo kwenye kambi za Nyarugusu na Nduta mkoani Kigoma ili waweze kurejea kwa hiari katika nchi yao ya asili ambayo ni Burundi. Na Michael Mpunije –…

24 September 2024, 12:27

Namna ongezeko la watu linavyoathri  uchumi wa kaya

Serikali imesema halmashauri nchini hazina budi kutumia matokeo ya sensa ya mwaka 2022 kwa ajili ya kupanga maendeleo ya watu, familia na taifa kwa ujumla. Na Michael Mpunije – Kasulu Inaelezwa kuwepo kwa idadi kubwa ya watu kwenye kaya hupelekea…

19 September 2024, 14:29

Meli ya MT Sangara kukabidhiwa serikalini Kigoma

Meli ya Mafuta ya MT Sangara iliyokuwa katika ukarabati mkubwa imefanyiwa ukaguzi na majaribio ya mwisho ya mitambo yake ikiwa katika asilimia 96% kabla ya kukamilika na kukabidhiwa serikalini ili kuanza kazi zake katika Ziwa Tanganyika. Na, Emmanuel Matinde Meli…