Maendeleo
3 February 2023, 2:47 pm
Vijana na wanawake washindwa kurejesha mikopo ya halmashauri
Wanawake na Vijana wanatakiwa wapate elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri ili wafanye marejesho kwa wakati. Na Ansigary Kimendo Kutokuwepo kwa elimu ya umuhimu wa kufanya marejesho ya mikopo inayotolewa na Halmashauri imetajwa kuwa chanzo…
1 February 2023, 11:57 am
Utata Waibuka Makabidhiano Hospitali ya Rufaa
MPANDAWajumbe walioshiriki katika baraza la madiwani robo ya mwaka lililofanyika katika ukumbi wa manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamemtaka Katibu tawala wa Mkoa kutatua mgororo wa makabidhiano ya hosptali baina ya Manispaa na Mkoa. Wakizungumza katika baraza hilo baadhi ya…
21 January 2023, 9:47 am
Bilioni 32.1 zapitishwa Bajeti ya H/W Ruangwa Mwaka wa fedha 2023/24
Baraza la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, limepitisha Bajeti ya kiasi cha shilingi Bilioni thelathini na mbili milioni mia moja na saba laki saba na themanini na tatu elfu (32,107,783,000/=) kwa mwaka wa fedha wa 2023/2024. kwa…
20 January 2023, 4:11 am
Wakazi wa Ibindi Walia na Barabara
NSIMBO Wananchi wa kijiji cha ibindi kata ya Ibindi Halmshauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wameuomba uongozi wa kata hiyo kuboresha miundombinu ya barabara ambayo wametaja kama kikwazo katika shughuli za kimaendeleo. Wakizungumza na Mpanda redio fm wananchi hao wamesema barabara…
20 January 2023, 3:14 am
Uzinduzi wa Jengo la Mahakama Katavi
KATAVI Watumishi wa Mahakama nchini wametakiwa kutenda haki na kuepuka vitendo vya rushwa ili kuwahudumia wananchi kwa haki,usawa na kwa wakati. Hayo yamesemwa na Jaji Kiongozi Mahakama Kuu Tanzania Mustapher Mohamed Siyani wakati akizungumza katika uzinduzi wa mahakama za hakimu…
16 January 2023, 10:07 AM
Shule jumuishi Ya Mfano Ya Msingi Lukuledi Imeziduliwa!!!
MASASI. Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda amezindua Shule ya Msingi jumuishi ya mfano Lukuledi Wilayani Masasi mkoani mtwara ikiwa ndio shule ya kwanza ya mfano kwasasa ambayo huwezi kuiona sehemu nyingine Tanzani kwa ukubwa na wingi wa miundombinu huku…
6 January 2023, 9:08 am
Wananchi wa Ilangasika watengua kauli ya kutoshiriki uchaguzi.
Na Said Sindo: Baada ya kilio cha muda mrefu cha Wananchi wa Kijiji cha Ilangasika kilichopo kata ya Lwamgasa katika Jimbo la Busanda baada ya kulalamika kwa muda mrefu juu ya hai mbaya ya barabara na daraja katika kijiji hicho…
4 January 2023, 8:30 am
Wanachama wa CCM Nyarugusu wachangia ujenzi wa ofisi ya chama.
Na Kale Chongela: Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Kata ya Nyarugusu wilayani Geita kwa kauli moja wameamua kuchangishana fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi ya chama ya Kata itakayogharimu kiasi cha Shilingi Milioni ( 50 ) ili…
23 December 2022, 7:50 AM
Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil David Mwambe , ameshiriki hafla ya mapokezi ya…
Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Cecil David Mwambe, ameshiriki hafla ya mapokezi ya Majengo Kwa ajili ya Shule ya Sekondari Mpanyani. Majengo hayo yaligarimu sh 460m yamekamulika na tayari wanafunzi 160 waliochaguliwa kuingia kidato Cha kwanza wataanza kuyatumia Kuanzia January…
19 December 2022, 7:06 AM
Kongamanola Wadau wa Salamu Kanda ya Kusini Lafanyika Mangaka.
WADAU WA SALAMU KANDA YA KUSINI WAFANYA MKUTANO WA MWAKA MJINI MANGAKA. Picha ya Pamoja baadhi ya Wadau wa Salamu Kanda ya Kusini, ambapo leo tar 17-12-2022 wamekutana Wilayani Nanyumbu Mjini Mangaka na Kujadiliana baadhi ya changamoto na namna ya…