Radio Tadio

Maendeleo

23 May 2022, 2:34 pm

MIL. 470 KUWANUFAISHA SHULE MAALUM MSAKILA

Jumla ya shilingi million 470 zimetolewa katika wilaya ya Tanganyika kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya msingi   katika shule maalumu ya msakila. Akizungumza na Mpanda radio fm kaimu mkurugenzi wa wilaya ya Tanganyika Betuel Luhega wakati wa ziara ya…

23 May 2022, 2:27 pm

MPANDA Vijana Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kujishughulisha na kilimo kwa kujiunga na vikundi ili kulima kilimo chenye tija zaidi. Hayo yamesemwa na wakulima wa kikundi cha AMAKWAWO wanaojishughulisha na kilimo cha zao la nyanya Wilayani Mpanda na kusema kuwa …

26 August 2021, 1:44 pm

Mradi wa kufua umeme Zuzu watajwa kufikia asilimia 98.

Na;Mindi Joseph . Mradi wa kituo cha kufua umeme Zuzu umetajwa kufikia asilimia 98 huku ukitarajiwa kufunguliwa Rasmi Septemba 30 mwaka huu. Mradi huo utakuwa na uwezo wa kusambaza umeme ndani ya Nchi pamoja na Nchi jirani.Katika Mkoa wa Dodoma…

13 July 2021, 1:20 pm

Moleti waiomba Serikali kuwapelekea huduma ya umeme

Na; Benard Filbert. Wakazi wa Kijiji cha Moleti Wilaya ya Kongwa wameiomba Serikali kuharakisha kuwaunganishia huduma ya umeme wa REA kutokana na kuchangishwa fedha takribani mwaka mmoja uliopita. Wamesema hayo wakati wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamedai kuwa baadhi ya…

8 July 2021, 11:32 am

Serikali yatatua changamoto ya umeme kata ya Membe

Na; Benard Filbert. Miezi kadhaa baada ya Dodoma FM kuripoti habari kuhusu changamoto ya kukosekana kwa nishati ya umeme katika kata ya Membe Wilayani Chamwino hatimaye Serikali imeanza kuchomeka nguzo za umeme. Baadhi ya wakazi wa kijiji cha Chitaburi wameeleza…