Radio Tadio

Maendeleo

28 September 2022, 6:53 pm

Fursa kibao za ajira zatangazwa kwaajili ya Wananchi

Wananchi wilayani Karagwe wamehimizwa kujiandaa ili waweze kunufaika kiuchumi kupitia Ujio wa mbio za Mwenge wa Uhuru utakao kesha katika uwanja wa changarawe Kayanga October 08 mwaka huu. Ni wito uliotolewa na mkuu wa wilaya Karagwe Mwalimu Julieth Binyura Sept…

16 September 2022, 4:43 am

Zaidi ya Wanafunzi 5,000 Kusomea Chini Kata ya Shanwe

MPANDA Zaidi ya wanafunzi  5000 katika  Kata ya Shanwe manispaa ya Mpanda mkoani katavi  hawana sehemu ya  kusomea hali ambayo inapelekea kusomea nje. Akizungumza na Mpanda Redio FM Diwani wa Kata ya Shanwe Masumbuko Makolo kolo amesema kuwa shule zilizopo…

7 September 2022, 10:55 am

Wananchi Wahoji Mil. 10 Kutumika Kujenga Choo Mnadani

KATAVI Uongozi wa Kata ya Majengo Manispaa ya Mpanda Mkoani  Katavi umetoa ufafanuzi  juu ya   swali la mwananchi kutaka kujua kiasi cha fedha cha Tsh Milion kumi kilichotumika katika ujenzi wa choo cha wafanyabiashara wa Mnada Kapripoiti. Akizungumza katika Mkutano…

8 June 2022, 3:45 pm

TUWEZESHENI, TUKAWAWEZESHE

Wanachama wa Chama cha wafugaji wa ngombe wa maziwa cha Kashauriri Livestock Keepers kilichopo Wilayani Mpanda  wameomba kuwezeshwa na taasisi za fedha kwa lengo la kujikwamua kiuchumi na kutoa fursa ya ajira kwa jamii. Wakizungumuza wakati wa kilele cha maadhimisho…

26 May 2022, 1:27 pm

VIJIJI SABA KUNUFAIKA NA UPATIKANAJI WA MAJI KATAVI

Vijiji saba vilivyopo ndani ya Wilaya ya Mpanda    mkoani katavi vitanufaika na upatikanaji wa maji kupitia Wakala wa maji na usafi wa Mazingira vijijini (RUWASA) katika mwaka wa fedha 2022/23. Akizungumza na Mpanda Radio FM Meneja wa RUWASA Wilayani Mpanda…