Radio Tadio

Maendeleo

1 June 2023, 10:09 am

Wazazi waaswa kuchangia miradi ya maendeleo shuleni

MPANDA Wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Uhuru manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kujikita katika kuchangia miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia wanafunzi changamoto zitokanazo na upungufu wa madawati pamoja na matundu ya vyoo. Kauli hiyo imetolewa na diwani…

29 May 2023, 5:52 pm

Samia, Chongolo wazawadiwa ng’ombe Mufindi Kusini

Na Mwandishi wetu Mbunge wa jimbo la Mufindi Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti Wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania David Kihenzile amekabidhi zawadi ya ng’ombe kwa ajili ya Mh.Rais Samia Suluhu Hassan. Hata hivyo amekabidhi pia ng’ombe wa…

16 May 2023, 10:56 am

Serikali yazindua kampeni ya kulinda maadili

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amepongeza juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wanawake na Makundi Maalum kwa juhudi za kutoa za Elimuu juu ya umuhimu wa Familia na Upendo katika Jamii zetu. Na Mariam Matundu. Katika kuadhimisha…

15 May 2023, 7:31 pm

Vijana Katavi waaswa kuchangamkia fursa

KATAVI Vijana mkoa wa Katavi wameaswa kuchangamkia fursa zinazotolewa na serikali kwa kuunda umoja na kusajiliwa kisheria na Bodi ya wakandarasi ili waweze kupata kazi zinazotolewa na serikali kupitia wakala wa Barabara Tanrods katika mkoa wa Katavi. Ushauri huo umetolewa…

10 May 2023, 4:05 am

Wafanyabiashara wa Mahindi Waomba Kupewa Eneo Kubwa

MPANDA Wafanyabiashara wa soko la Mahindi Kata ya Mpanda Hotel Manispaa Mpanda Mkoani Katavi wamekuwa na maoni tofauti kuhusu miundombinu ya soko huku baadhi wakiiomba serikali kuwatafutia eneo pana kwa ajili ya shughuli hiyo Maoni hayo wameyatoa wakati wakizungumza na…

9 May 2023, 8:20 pm

PETS Wapongeza Shirika la UDESO

KATAVI Wananchi na wanakamati ya PETS wilayani Tanganyika mkoani katavi, wanaoshiriki mafunzo ya ufahamu wa haki, wajibu na majukumu ya wananchi katika usimamizi na ufuatiliaji wa matumizi sahihi ya pesa zinazotolewa na serikali kwaajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo wamelipongeza…