Radio Tadio

Kilimo

25 June 2024, 1:29 pm

Manyara yatajwa kuwa na asilimia 32 ya udumavu

Licha ya mkoa wa Mnyara kuwa na uzalishaji mkubwa wa vyakula mbali mbali hali ya udumavu imeonekana kuwa juu hasa katika maeneo ya kata ya Bashay iliyopo wilaya mbulu vijijini Na Marino Kawishe Mkoa wa Manyara umetajwa kuwa na silimia…

11 May 2024, 10:52

Moravian chini ya Mission 21 yafanya tathmini ya miradi

Wafadhili wa Mission 21 katika kanisa la Moravian Tanzania wamekutana na jimbo la kusini magharibi na jimbo la kusini na wasimamizi wa miradi mbalimbali ili kufanya tathimini ya miradi iliyo pita kwa mwaka 2022-2024 na kupokea maoni ya miradi ujao…

May 8, 2024, 2:17 pm

Mifugo yaripotiwa kuuawa kwa sumu za viwanda vya dhahabu

“Mheshimiwa Mwenyekiti kwanza kabisa binafsi kwa hoja hii iliyotolewa hapa kwenye Baraza lako binafsi sijawahi kupata malalamiko hayo sisi kama halmashauri gharama za usajili ni shilingi elfu kumi (10,000) pekee kwa kikundi tutaendelea kufuatilia ubadhilifu huo” Alisema Judica Sumari. NA…

6 May 2024, 5:32 pm

Wezi wadaiwa kuficha mali juu ya mlima

Licha ya dhana ya ulinzi shirikishi na uwepo wa polisi jamii katika mitaa na vijiji vya mkoa wa Geita, bado changamoto ya vibaka na wezi imeendelea kuwatesa wakazi wa Njia panda ya Inyala katika mji mdogo wa Katoro. Na: Evance…

27 February 2024, 4:07 pm

Ujirani mwema baina ya TAWA na jamii ya Simanjiro.

Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania – TAWA Kanda ya Kaskazini kitengo cha ujirani, ofisi ya Ikolojia Simanjiro Lokisale wametoa elimu ya uhifadhi na manufaa yatokanayo na Wanyamapori. Na Baraka David Ole Maika. Akizungumza na Viongozi mbalimbali, wazee mashuhuri na wakaazi…

22 February 2024, 4:42 pm

Wananchi Sengerema wajitokeza kuchukua vitambulisho vya NIDA

Wananachi wa Kata ya Nyampulukano Wilayani Sengerema  Mkoani Mwanza  Mwanza wamejitokeza kwa wingi kupata  vitambulisho ya Taifa (NIDA). Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA Wilaya ya Sengerema imeanza zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya NIDA kwa wananchi,huku likiwataka kujitokeza kwa…