Kilimo
17 Septemba 2025, 15:06
Ussi akoshwa na mradi wa nyumba za walimu Kasulu
Katika kuthamini mchango wa watumishi wa Umma, Serikali imeendelea kuimarisha mazingira ya kutolea huduma ikiwemo kujenga nyumba kwa ajili ya makazi ya watumishi ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao. Na Hagai Ruyagila Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru…
17 Septemba 2025, 09:37
Aliyetelekezwa shule na mzazi akiwa darasa la pili ahitimu darasa la 7
Mtoto aliyetelekezwa na mama yake akiwa darasa la pili na kulelewa na shule ahitimu masomo ya darasa la saba huku wito ukitolewa kwa wadau kujitokeza kumsaidia. Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya…
14 Septemba 2025, 6:14 UM
Wanafunzi waanzilishi wakutana na kurudisha shukrani Rondo
Kuzaliwa mwanaume ni zawadi ila kuwa mwanaume ni maamuzi..msemo huu ukimaanisha kuwa mwanaume ni kutambua majukumu yanayo kupasa na kuyafanyia kazi. Ni katika maafali ya 24 yaliyofanyika shule ya wavulana Rondo Junior Seminar iliyopo Mtama Mkoa wa Lindi ambapo na…
3 Septemba 2025, 7:01 um
Jamii Manyara yatakiwa kuwapa watoto lishe bora
Jamii mkoani Manyara imetakiwa kuhakikisha watoto wote kuanzia umri wa miaka 0 hadi 8 wanapata lishe bora na huduma za malezi jumuishi ili iwasadie katika ukuaji . Na Mzidalfa Zaid Wito huo umetolewa leo na mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa…
Septemba 2, 2025, 4:48 um
Mtendaji atuhumiwa kuhamisha fedha za miradi ya maendeleo
Mtendaji wa Kata ya Sakina, mkoani Arusha, anatuhumiwa kuhamisha baadhi ya fedha za miradi ya maendeleo na kuziweka kwenye akaunti yake binafsi, hali iliyosababisha kusimama kwa ujenzi wa kivuko muhimu kwa wakazi wa eneo hilo. Na Jenipha Lazaro Tuhuma hizo…
27 Agosti 2025, 13:56
Kasi watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yaongezeka
Idadi ya watoto wa kike wanaosoma masomo ya sayansi imeendelea kuongezeka na hiii ni kutokana na jitihadi mbalimbali za Serikali na wadau wengine katika kuwahamasisha kupenda masomo ya sayansi Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imefanikiwa kutumia…
Agosti 26, 2025, 6:27 um
Kagera kuungwa katika gridi ya taifa ya umeme
Wiazara ya Nishati imesaini mikataba miwili ya mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kwa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako wilayani Ngara hadi Kyaka wilayani Missenyi utakaowezesha mkoa wa Kagera kuungwa katika gridi ya taifa ya umeme. Na…
25 Agosti 2025, 16:37
Wamiliki shule waaswa kuendana na mabadiliko ya mtaala mpya
Mmiliki wa shule za Hekima zilizopo Mjini Kasulu Mkoani Kigoma Fedia Yaredi amesema ataendelea kusimamia shule hizo ili zieweze kutoa elimu bora kwa watoto Na Hagai Ruyagila Wamiliki wa shule binafsi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kukubaliana na mabadiliko ya…
25 Agosti 2025, 14:08
Wahitimu darasa la saba waaswa kuwa na maadili mema
Wito umetolewa kwa shule binafsi kuanza kufuata mabadiliko ya mtaala mpya ambao umetolewa na serikali ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Na Sofia Cosmas Watumishi wa umma na sekta binasi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kuondoa utengano na chuki…
25 Agosti 2025, 13:00
Maafisa elimu watakiwa kusimamia elimu ya MEMKWA
Serikali Mkoani Kigoma imesema itaendelea kuhamasisha wananchi kuhakikisha wanaweka mazingira wezeshi kwa ajili watoto hasa wa kike ili waweze kupata elimu. Na Hagai Ruyagila Maafisa elimu na Waalimu kutoka halmashauri mbalimbali za mkoa wa Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanazingatia na kutumia…