Jamii
5 February 2024, 15:32
Viongozi wa dini wakemea ramli chonganishi Kigoma
Jamii imeshauriwa kutojihusisha na vitendo vya ramli chonganishi ambavyo vinafanywa na waganga wa kienyeji ili kuwatapeli wananchi. Na, Josephine Kiravu Viongozi wa dini Kutoka madhehebu mbalimbali Mkoani kigoma wamekemea vikali vitendo vinavyoendelea kufanywa na waganga wanaopiga ramli chonganishi maarufu kwa…
3 February 2024, 16:31
Kyela:Samia Mgeni rasmi maridhiano day Mbeya
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dokta Samia Suluhu Hasan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika siku ya mamaridhiano day itkayofanyika machi 3 2024 mkoani Mbeya.Na Masoud Maulid Kuelekea siku ya maadhimisho ya Maridhiano day yatakayofanyika march 3.2024 kamati ya…
31 January 2024, 10:08 pm
Watoto wadaiwa kutumika biashara ya dawa za kulevya
Watoto wamekuwa wakitumiwa kusafirisha dawa hizo na kuwasababishia athari mbalimbali. Na Thadei Tesha.Kundi la watoto limetajwa kutumika kwa sehemu kubwa katika biashara haramu ya usafirishaji wa dawa za kulevya nchini. Hayo yamesemwa na kamishna Jenerali wa Mamlaka ya kudhibiti na…
January 30, 2024, 9:55 pm
Ded William Makufwe awataka watendaji kusimamia mapato
Kutokana na upotevu wa mapato Ded Makufwe amewataka Watendaji hususani katika maeneo yote yenye mageti kuahkikisha wanasimamia kikamilifu kudhibiti mianya yote ya utoroshaji wa mapato ambayo ndio uti wamgongo wa Halmashauri ya Makete na Mwandishi wetu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya…
January 30, 2024, 9:26 pm
Dc Juma Sweda Ametembelea kaya zilizoezuliwa na upepo Ipelele Makete
Tayari takribani nyumba saba zimeshajengwa ikiwa ni hatua za kunusuru kaya zilizokosa makazi baad ya mvua na upepo mkali kuezua nyumba siku za hivi karibuni katika maeneo kadha katika wilaya ya Makete ambapo serkali wadau na wananchi wamechangia nguvu zao…
28 January 2024, 4:59 pm
Atakayehama kwa hiari Ngorongoro kupewa haki zote za msingi
Katika mwendelezo wa wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kuhama kwa hiari kupisha zoezi la uhifadhi, hatimaye kaya zingine 118 zenye watu 818 na mifugo 3,129 wamehama kuelekea Msomera. Na Edward Shao Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. John…
27 January 2024, 00:30
Kyela: Mwamengo, UWT Nkuyu watoa kilo mia moja za mchele
Wakati Jumiya ya UWT kata ya Nkuyu ikijiandaa kusherehekea sikukuu yao, kilo miamoja za mchele zimetolewa na mdau wa maendeleo hapa wilayani Kyela Baraka Mwamengo. Na James Mwakyembe Kuelekea sherehe za jumuiya ya umoja wa wanawake UWT kata ya Nkuyu…
January 20, 2024, 9:01 pm
Zaidi ya kaya 20 zaathiriwa na upepo mkali Makete
Ikiwa mamlaka za utabiri wa hali ya hewa nchini zinazidi kutoa tahadhari juu ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, baadhi ya maeneo katika mikoa na wilaya kumetokea athari mbalimbali ikiwa ni pamoja na vifo vya binadamu pamoja na uharibifu wa miundombinu.…
19 January 2024, 1:29 pm
Waliomteka mtoto na kudai milioni 4 watiwa mbaroni Mbogwe
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limejipanga kukabiliana na matukio ya ukatili kwa watoto ikiwemo ya kubakwa na kuuawa. Na Mrisho Shabani – Geita Jeshi la polisi Mkoa wa Geita limewakamata watu watatu wilayani Mbogwe kwa tuhuma za kumteka mtoto…