Jamii
Juni 13, 2023, 8:10 mu
Aliyedhaniwa kufariki juzi na kufufuka, afariki leo
Taarifa rasmi za kifo cha Bi. Felister Sanga aliyesingiziwa kufariki na kufufuka, afariki leo kijiji cha Ipepo Wilayani Makete Mkoani Njombe
10 Juni 2023, 7:28 mu
Watalaam wa afya toka hospitali ya Rufaa Iringa watoa msaada kituo cha IOP
Na Ansigary Kimendo Madaktari na wataalam mbalimbali wa afya kutoka hospitali ya rufaa mkoa wa Iringa, wametembelea kituo cha kulea watoto yatima cha Ilula Orphan Program (IOP) na kutoa mahitaji mbalimbali ikiwemo Chakula. Wamesema lengo ni kuifikia jamii yenye uhitaji…
6 Juni 2023, 6:46 um
Jamii yashauriwa kujenga tabia ya kufanya tafiti mbalimbali
Mradi wa ALiVE-Tanzania una lengo la kufanya tafiti na kupima stadi za maisha na maadili kwa vijana Nchini. Na Fred Cheti. Jamii imeshauriwa kujenga desturiĀ ya kufanya tafiti mbalimbali katika maeneo yao na kubaini changamoto zilizopo ili kupunguza baadhi ya…
5 Juni 2023, 6:16 um
NIDA, shirika la Posta waingia ubia usambazaji vitambulisho
NIDA imeingia ubia na shirika la Posta katika zoezi la usambazaji wa vitambulisho. Na Bernadetha Mwakilabi. Wananchi wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya vitambulisho vya taifa (NIDA) ikiwa ni njia pekee ya kufanikisha lengo la serikali la kuboresha utoaji wa huduma…
29 Mei 2023, 10:14 MU
DC Chaurembo: Aliyejirekodi na kusambaza video chafu achukuliwe hatua
Nanyumbu Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu Mariam Chaurembo ameliagiza Jeshi la Polisi wilaya ya Nanyumbu kumkamata na kumchukulia hatua kali za kisheria mwanamke aliyetambulika kwa jina la Zakia Yassini mzaliwa wa Maswera wilayani humo, umri wake ukikadriwa kuwa kati ya…
23 Mei 2023, 3:52 um
Miaka 65 ya ndoa: Wafariki na kuzikwa siku moja
Tukio hilo la aina yake limewatafakarisha watu wengi maeneo hayo huku wengine wakidai ni msiba wa aina yake ambao umevuta hisia za watu wengi na kuweka historia kwa waombolezaji waliofika msibani hapo. Na. Bernad Magawa . Katika hali ambayo si…
22 Mei 2023, 4:41 um
DC Kongwa: Ni haki ya wananchi kujua mapato na matumizi
Wananchi wametakiwa kuhoji jambo lolote kwa viongozi wao ambalo hawalielewi ili waweze kupatiwa ufumbuzi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Kongwa Dkt. Omary Nkullo amewataka wananchi, wenyeviti wa vijiji na vitongoji kuhakikisha wanahudhuria mikutano ya baraza la…
17 Mei 2023, 3:03 um
NIDA yatoa vitambulisho 62,258 Kongwa
Changamoto wanazopitia wananchi katika vitambulisho vya Taifa ni pamoja na kushindwa kutimiza vigezo na masharti ya kujaza fomu za kuomba vitambulisho hivyo hali inayopelekea ofisi kushindwa kufanya kazi yake kwa ufanisi. Na Bernadetha Mwakilabi. Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA)…
17 Mei 2023, 10:40 MU
Wananchi katika Jimbo la Cabo Delgado nchini Msumbiji wameanza kurejea katika ma…
11 Mei 2023, 9:48 mu
Wananchi wa Kitelewasi hawana imani na uongozi wa Kijiji
Wananchi wa kijiji cha kitelewasi Kilichopo Kata ya Ilole wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa wamesema hawana imaniĀ na uongozi wa serikali ya kijiji hicho kutokana na ubadhilifu wa fedha. Wakizungumza katika mtukutano wa hadhara wanakijiji hao wameiomba serikali kuwatafutia ufumbuzi…