Radio Tadio

Habari

16 July 2022, 3:55 pm

Waziri Makamba atoa ahadi hii kwa wananchi Sengerema

Waziri wa Nishati Nchini Mh,January Makamba  amewahidi  wananchi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  kutatua tatizo sugu la kukatika kwa umeme ili kuwaondolea  adha hiyo inayowakabili  kwa muda mrefu . Waziri  Makamba amesema hayo wakati akizungumza  na wananachi  katika mkutano wa hadhara…

May 25, 2022, 10:55 am

MWANAMKE AUAWA KWA KUCHOMWA KISU GESTI MJINI KAHAMA

  Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Zuena au Ashura Salum (25-30) mkazi wa Dar es Salaam, amekutwa chumbani akiwa ameuawa kwa kuchomwa kisu  na mtu anayedhaniwa kuwa ni mwenza wake katika nyumba ya kulala wageni ya Kalunde iliyoko mjini Kahama,…

24 March 2022, 12:29 pm

Mtwara waweka Mikakati ya Kupunguza  vifo vya Mama Wajawazito

Na Gregory Millanzi.                                                                    Mikakati mingine iliyowekwa na Mkoa ili kuhakikisha inapunguza vifo vitokanavyo na uzazi ni kuhakikisha gari la kubeba Wagonjwa (Ambulance) katika vituo vya afya na Hospitali zinafanya kazi muda wote ili kuimarisha mfumo wa Rufaa kutoka ngazi…

17 February 2022, 23:46 pm

SDA yapaza sauti juu ya unyanyasaji wa kijinsia

Na Amua Rushita Shirika la maendeleo ya michezo (SDA) Mtwara kupitia mradi  wa  kuwawezesha wabinti kupaza sauti, wameendesha Semina ya siku mbili juu ya kuwapa elimu ya namna ya kupambana na unyanyasaji wa kijinsia, semina hiyo imefanyika katika  ukumbi wa…

11 February 2022, 11:53 am

Ngedere na Tumbili wavuruga shughuli za kilimo

Wanyama pori (Tumbili na Ngedere) wamekuwa kikwazo kwa wananchi  kufanya shughuli   za kilimo  kwa ufasaha  kwa baadhi ya kata za Halmashauri  ya Mtwara vijijini hali inayopekea  kukatamaa na shughuli  hizo. Akichangia Taarifa ya kamati ya uchumi ,ujenzi na Mazingira  Diwani…