Habari
25 Machi 2023, 9:26 um
Waziri Mkuu Majaliwa aonya Matumizi ya Fedha mbichi kwenye Halmashauri
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Kasimu Majaliwa amezionya Halmashauri zinazotumia Fedha za Makusanyo ya ndani kabla ya kuziweka kwenye Mifumo ya Kibenki. Mhe Majaliwa ametoa Onyo hilo leo mjini Bariadi wakati akiongea na baadhi ya Watumishi…
25 Machi 2023, 19:51
Wakazi wa Nyatwali nimewasikia tegemeeni mazuri kutoka serikali ya CCM ; Rajabu…
Mwenyekiti wa wazazi CCM taifa Ndugu, Fadhil Rajabu Maganya ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu CCM taifa amesema kero za wakazi wa kata ya nyatwali amezisikia na wategemee majibu mazuri kutoka serikali inayotokana na chama cha mapinduzi. Kauli hiyo…
25 Machi 2023, 19:42
DC Naano; akemea tabia za wafanyabiashara kupandisha bei za vyakula wakati wa Ra…
Ikiwa waislamu nchini Tanzania na duniani kote wameanza mwezi kufunga katika mwezi mtukufu wa Ramadhani wafanyabiashara wamelalamikiwa desturi ya kupandisha bei ya bidhaa za chakula vinavyotumika katika kipindi hiki. Wakizungumza kupitia kipindi cha asubuhi leo kupitia radio mazingira fm leo…
25 Machi 2023, 14:58
Serikali yakamilisha tathmini kwa Walioezuliwa nyumba zao Ulanga
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Minepa katika Vijiji vya Kivukoni,Mbuyuni na Minepa walipatwa na Maafa ya Nyumba zao kuezuliwa na upepo Mkali ulioambatana na mvua,Serikali Wilayani Ulanga tayari imekamilisha zoezi la tathmini na taarifa hiyo imeshatumwa Ofisi ya Waziri…
24 Machi 2023, 13:15
Viongozi watakiwa kusimamia ipasavyo miradi ya serikali
Bi Fatma Mganga amekabidhi ofisi hiyo baada ya kuhamishwa kwenda kuwa Katibu tawala mkoani Singida. Na Alfred Bulahya. Aliyekuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma Bi, Fatma Mganga, amekabidhi ofisi kwa katibu Tawala mpya Bw. Ally Gugu. Katika makabidhiano hayo…
24 Machi 2023, 09:16
Siku ya Kifua Kikuu Duniani 2023
Leo ni siku ya Kifua Kikuu au TB duniani kwa mujibu wa Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif amesema kila mwaka, Watu 137,000 wanaugua Kifua Kikuu (TB) na wanaofariki ni 32,000, sawa…
19 Machi 2023, 19:23
CHADEMA; Wampa tano Rais Samia kuruhusu mikutano ya hadhara.
Naibu Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Zanzibar SALUMU MWALIMU amemshukuru Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa. Kiongozi huyo wa CHADEMA ameyasema hayo kwenye…
18 Machi 2023, 17:52
Huduma za Rita sasa ni mtandaoni.
Wakala wa ufilisi na udhamini nchini rita umekamilisha hatua ya kwanza ya mfumo wa usajili wa matukio mbalimbali ya binadamu ikiwemo vizazi , vifo , ndoa na taraka kupitia mtandao ambao unajulikana kama E RITA jambo litakalorahisisha upatikanaji wa huduma…
18 Machi 2023, 16:39
Waandishi wa Habari waanza mafunzo ya mguso Dodoma.
Na Erick Mallya Waandishi wa Habari kutoka vituo 19 vya Tanzania bara na visiwani wameanza mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika Kuimarisha utangazaji wa jinsia ndani na kupitia vyombo vya Habari. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na Shirika la UZIKWASA lililopo wilayani…
17 Machi 2023, 17:30
Miaka miwili bila Magufuli wananchi waendelea kumuenzi
Leo imetimia miaka miwili tangu alipofariki Dunia Rais wa Serikali ya awamu ya Tano, Dkt John Pombe Magufu. Na Fred Cheti. Ikiwa leo imepita miaka miwili tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa serikali ya awamu ya tano Hayati John Pombe…