Habari
21 June 2023, 10:47 am
TRA: Wafanyabiashara lipeni kodi msisubiri siku ya mwisho kuna faini
Afisa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Mamlaka ya Mapato TRA mkoa wa Mara, Geofrey Comoro amewaasa wafanyabiashara wasisubiri siku ya mwisho kufanya malipo ya kodi ya mapato bali wafanye mapema ili kuepuka faini na usumbufu usio wa lazima. Comoro ameyasema…
21 June 2023, 10:40 am
CHADEMA: Ugumu wa maisha kwa vijana chanzo cha kucheza kamari, kubeti
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimefanya mkutano katika kata ya Bunda Stoo halmashauri ya mji wa Bunda huku wakigusia mambo mbalimbali likiwemo ukosefu wa ajira kwa vijana na ugumu wa maisha. Katika mkutano huo uliohudhuriwa na viongozi mbalimbali kuanzia ngazi ya…
21 June 2023, 10:31 am
Wakazi Nyamakokoto watakiwa kununua milango 15 iliyoibwa shule za Balili, Bunda
Diwani wa kata ya Nyamakokoto Emmanuel Malibwa amewataka wakazi wa kata hiyo kuchangia utengenezaji wa milango 15 ya vyoo iliyoibwa katika shule za msingi za Balili na Bunda. Akizungumza na radio Mazingira Fm katika kutamatatisha ziara yake ndani ya mitaa…
21 June 2023, 10:18 am
Vijana FPCT Neno la Neema Bunda waadhimisha wiki ya vijana kwa kutembelea wodi y…
Umoja wa vijana kanisa la FPCT Neno la Neema chini ya mchungaji Omoso wametembelea wodi ya wazazi kituo cha afya Bunda ikiwa ni sehemu ya sherehe za wiki ya vijana kanisani hapo. Akizungumza na Radio Mazingira Fm mwenyekiti wa vijana…
21 June 2023, 10:16 am
Ushauri: Shughuli za vijana zisiathiri utaratibu wa Mungu katika maisha yao
Wito umetolewa kwa vijana kumtanguliza Mungu katika shughuli zao na kujiepusha na mambo yasiyofaa katika jamii. Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa vijana kanisa la FPCT neno la Neema Bade Winford chini ya mchungaji Omoso Tukiko ikiwa ni hitimisho la wiki ya…
13 June 2023, 2:39 pm
Tume ya haki za binadamu yabaini maeneo yanayoongoza utumikishaji watoto
Maadhimisho ya siku ya kupinga ajira kwa watoto hufanyika june 12 kila mwaka na mwaka huu maadhimisho hayo yamekwenda sambamba na kaulimbiu isemayo haki ya jamii kwa wote. Kukomesha ajira ya watoto. Na Pius Jayunga. Tume ya haki za binadamu…
9 June 2023, 8:48 am
Anusurika kifo baada ya kuchomwa kisu tumboni
Janeth Samweli (28) mkazi wa mtaa wa Kabarimu kata ya Kabarimu halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara amenusurika kifo baada ya kuchomwa kisu na anayetajwa kuwa na mume wake tumboni kisha mwanaume huyo kutokomea kusikojulikana. Wakizungumza na Mazingira Fm…
2 June 2023, 12:29 pm
Wakulima waishauri serikali kutangaza bei ya pamba kabla ya kulima
Wakulima wa zao la pamba wilaya ya Bunda wameishauri serikali kutangaza bei ya pamba mwanzoni mwa msimu kabla ya kuanza kulima Akizungumza na Mazingira Fm katika kituo cha AMCOS Balili mwalimu Tumaini Nyangamba Ndaro ambaye ni mkulima amesema ni vema…
28 May 2023, 7:42 pm
Mkurugenzi Bunda DC amaliza mgogoro eneo la ujenzi wa sekondari Nyaburundu
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bunda Mhe Changwa Mkwazu amemaliza sintofahamu ya eneo la ujenzi wa shule ya sekondari katika Kijiji Cha Nyaburundu Kata ya Ketare Halmashauri ya wilaya ya Bunda. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika shule…
23 May 2023, 3:09 pm
Kamati ya kutathmini hali ya uchumi katika vyombo vya habari yaongezewa miezi 6
Kamati hiyo iliyoundwa na Waziri Nape tarehe 24 Januari 2023 sasa itafanya kazi hadi mwezi Novembar 2023 na kuleta mapendekezo ya kushughulikia suala la uchumi kwenye vyombo vya habari. Na Mindi Joseph. Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari…