Habari za Jumla
27 Febuari 2024, 19:12
Mahundi akusanya 50m ujenzi wa kanisa KKKT Sinai Mbeya
Na Hobokela Lwinga Naibu Waziri wa Maji ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza harambee ya ujenzi wa Kanisa la Kiiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Konde Usharika wa Sinai Jijini Mbeya ambapo amechangia…
27 Febuari 2024, 18:57
SACP atembelea Ofisi za mkoa wa Songwe na kukutana na mwenyeji wake mkuu wa mkoa
Na Mwandishi wetu Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama Mkoa Dkt. FRANSIS MICHAEL amempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na…
27 Febuari 2024, 16:47
Bilioni 52 zatekeleza miradi ya maendeleo kibondo
Serikali kwa kipindi cha miaka mitatu Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma imetekeleza miradi ya zaidi ya shilingi bilioni 52 na kuleta manufaa kwa wananchi. Na, James Jovin Zaidi ya shilingi bilioni 52 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika wilaya…
27/02/2024, 10:16
Halmashauri Kuu ya CCM Kilosa yajipanga kumpongeza Rais Samia
Katika kipindi cha miaka mitatu wilaya ya Kilosa ilipatiwa fedha nyingi kwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwepo ya sekta ya elimu, afya, maji na miundombinu ambayo utekelezaji wake umetekelezeka katika kata zote chini ya ilani ya chama cha…
26 Febuari 2024, 13:26
Bajeti iliyopitishwa na madiwani kuchochea maendeleo ya mji kasulu
Baraza la Madiwani wa halmshauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma limepitisha mapendekezo ya bajeti ya shilingi bilioni 33.3 inayotokana na mapato ya ndani ya halmashauri Kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo yamebainishwa katika kikao…
25 Febuari 2024, 6:29 um
Takukuru Simiyu yaokoa zaidi ya shilingi milioni 70
Na Nicholaus Machunda Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa mkoa wa Simiyu imefanikiwa kuokoa fedha zaidi ya shilingi milioni sabini zilizotaka kufanyiwa ubadhirifu katika Chuo cha Maafisa Tabibu wilayani Maswa. Akitoa taarifa kwa waandishi wa habari, Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani …
25 Febuari 2024, 6:14 um
CHADEMA Simiyu yajipanga kuingia kwa kishindo uchaguzi serikali za mita…
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Simiyu kimesema kuwa kimejipanga kuingia kwa kishindo katika uchaguzi wa serikali za mitaa utaofanyika mwishoni mwa mwaka huu wa 2024. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Mkoa wa Simiyu Musa …
25 Febuari 2024, 8:46 mu
DC Ngorongoro na ziara ya kwanza
Miradi mingi ya maendeleo wilayani Ngorongoro inayotekelezwa kupitia ufadhili wa benki ya maendeleo ya Ujerumani (KFW) imegusa karibu kila sekta muhimu ikiwepo Afya,barabara pamoja na sekta ya elimu. Na mwandishi wetu. Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Kanal. Wilson Sakulo leo…
23/02/2024, 18:43
Wanawake Kilosa watakiwa kuchangamkia fursa za uongozi
Uchaguzi wa serikali za mitaa\vitongoji na vijiji utakafanyika mwaka huu 2024 ili kuchagua viongozi katika nafasi hizo ambazo zitawapa fursa ya kwenda kuwaongoza wananchi katika kuwaletea maendeleo kwa kuzingatia sheria na miongozo. Na Asha Madohola Wanawake wametakiwa kuchangamkia fursa kipindi…
23 Febuari 2024, 16:03
KUWASA yabaini michezo michafu kwenye mita za maji
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji KUWASA imekemea tabia ya baadhi ya wananchi wanaoharibu miundombinu ya maji kwa kukata mabomba ya maji na wengine kuiba mita za maji. Na, Lucas Hoha Akizungumza na Joy…