Radio Tadio

Habari za Jumla

5 Oktoba 2025, 7:11 um

Wananchi Mpanda walia na wachimba madini

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akitoa maelekezo kwa wawekezaji. Picha na John Benjamin “Kuanzia leo nafunga shughuli zote za uchimbaji” Na John Benjamin Wananchi wa Kijiji cha Mtisi wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia uwepo wa wawekezaji  watatu…

5 Oktoba 2025, 11:45

Mch Mstaafu Mwaisango waumini ombea Tanzania

kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29,Oktoba 2025 viongozi wa dini wameendelea kuhimiza waumini kuombea taifa ili kuvuka salama. Na Ezekiel Kamanga Mchungaji Nelson Mwaisango Mwenyekiti pia Katibu mstaafu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini amewataka waumini wa…

4 Oktoba 2025, 6:29 um

Serikali kusafisha ziwa Babati

Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan amesema  serikali imetenga fedha ya kununua Mitambo ya kuondoa Magugu kwenye maziwa likiwemo ziwa Babati. Na Mzidalfa Zaid Amesema hayo Leo wakati akihitimisha kampeini zake mkoani Manyara katika…

27 Septemba 2025, 12:42 mu

Mgombea ubunge CCM Geita mjini awafikia wajasiriamali Nyankumbu

“Ilani ya CCM kwa mwaka 2025 imeainisha maeneo muhimu yanayogusa maisha ya wananchi kwenye afya, elimu, miundombinu pamoja na biashara” – Mhandisi Chacha Na:Ester Mabula Mgombea ubunge wa Jimbo la Geita mjini kupitia tiketi ya CCM Mhandisi Chacha Wambura katika…

Septemba 26, 2025, 9:07 mu

EFAD yagusa maisha ya watoto Songwe

Kupunguza utoro shuleni na kuongeza utulivu wa watoto shuleni Na Devi Mgale Shirika lisilokuwa la kiserikali la Elisha Youth Support Foundation (EFAD) lililopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe limetoa kilo 420 za Mahindi kwa watoto wanaoishi mazingira magumu katika…

25 Septemba 2025, 08:26

Jamii imehimizwa kujiunga na bima ya afya Kasulu

Jamii Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma imehimizwa kujiunga na Bima ya Afya ili kujihakikishia huduma bora za matibabu kwa wakati wa changamoto za kiafya. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa wilaya ya Kasulu Bw, Selemani Malumbo wakati…

23 Septemba 2025, 09:13 mu

TANESCO kuongeza uzalishaji wa umeme Mtwara

TANESCO kuongeza uzalishaji wa umeme kwa MW 20 katika kituo cha Hiari, Mtwara, kukabiliana na upungufu wa umeme Lindi na Mtwara. Mashine mpya itakamilika ndani ya mwezi mmoja, ikiongeza uzalishaji hadi MW 70 Na Musa Mtepa Mtwara, Tanzania – Shirika…