Radio Tadio

Habari za Jumla

March 6, 2024, 3:56 pm

Wananchi walalamikia miundombinu ya barabara Kahama

Na, Neema Nkumbi–Huheso FM Wananchi wa Kata ya Mhongolo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga walalamikia miundombinu ya barabara kuwa mibovu wakati walipokuwa wakizungumzia kuhusu hali ya miundombinu ya Barabara. Mmoja wa wananchi hao aliejitambulisha kwa jina Obed Nyangi amesema kuwa barabara…

6 March 2024, 09:54

Kigoma DC yaagizwa kuhamia kwenye ofisi zake

Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Albert Msovela amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma kuhakikisha ifikapo Julai Mosi, 2024 halmashauri hiyo inahamia katika jengo lake la Ofisi linalojengwa na Serikali katika eneo la kiutawala kata ya Mahembe wilayani humo.…

5 March 2024, 10:09

Mapato yapotea, chanzo kukosekana kwa POS Kasulu

Kukosekana kwa mtambo wa ukusanyaji wa mapato (POS) Personal Operating System kwa baadhi ya kata ikiwemo Nyumbigwa na Murufyiti zilizopo halmashauri ya Mji kasulu Mkoani Kigoma imepelekea halmashauri hiyo kuendelea kupoteza mapato Hayo yamebainishwa na Watendaji wa kata hizo mbili…

4 March 2024, 12:07

Serikali yakamilisha ujenzi wa zahanati Busunzu Kibondo

Serikali imesema itaendelea kuboresha huduma za afya kwa kuhakikisha wanaweka miundombinu bora ya vifaa tiba. Na, James Jovin Wananchi wa kijiji cha Nyaruranga kata ya Busunzu wilayani Kibondo mkoani Kigoma wameepukana na adha ya kutembea zaidi ya kilometa 20 kutafuta…

3 March 2024, 22:57

Kyela: Wekeza Group yatoa vifaa vya shule Unyakyusa, Ntebela

Wakati wanawake wakijiaanda kusherehekea siku ya wananke duniani kikundi cha wekeza grupu kimetoa vifaaa vya shule na chakula kwa shule za msingi Mbangamojo na Ikombe ikiwa ni ishara ya maadhimisho ya siku ya wananwake hapa wilayani Kyela. Na Nsangatii Mwakipesile…

March 1, 2024, 7:22 am

Wananchi waishukuru serikali kuwafikishia umeme Igolwa Makete

katika kutekeleza miradi ya umeme vijijini,wananchi wa kijiji cha Igolwa kilichopo katika kata ya Ipepo waipongeza Serkali kwa kuwafikishia Umeme,huku wakiomba Serkali kutatua changamoto ya Barabara. Wananchi wa kijiji cha Igolwa Kata ya Ipepo Wilayani Makete wameipongeza Serikali na Viongozi…

29 February 2024, 18:51

Zaidi ya miche 100 yapandwa shule ya Mpakani Kyela

Na Ezekiel Kamanga Taasisi ya Living Together Youth Foundation(LTYF) yenye makao makuu wilaya ya Kyela inayojihusisha na utunzaji wa mazingira ikiongozwa na mkurugenzi wake Leonatha Likalango imeendelea na kampeni ya kufungua klabu za mazingira shuleni sanjari na upandaji miti ya…