Radio Tadio

Habari za Jumla

7 Mei 2024, 7:54 um

DC Maswa akabidhi pikipiki kwa  CBWSOs

Mkuu wa Wilaya ya Maswa Mh. Aswege Kaminyoge amewataka viongozi wa CBWSOs zilizogawiwa pikipiki kuzitumia katika malengo yaliyokusudiwa ili kuleta mabadiliko katika utoaji wa huduma za maji na siyo shughuli binafsi zisizo na tija. Na Nicholaus Machunda Mkuu  wa  Wilaya …

7 Mei 2024, 19:20

Kyela: CHADEMA stop msaada wa kukarabati barabara Masebe

CHADEMA wilaya ya Kyela kimezuiwa kuendelea kutoa msaada wa kukarabati barabara ya kijiji cha Masebe iliyoharibiwa na mafuriko hapa wilayani Kyela. Na James Mwakyembe Siku chache baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kuanza kutekeleza ahadi ya kumwaga tripu…

7 Mei 2024, 18:24

Najivunia Kyela yetu Festival 2024 sasa rasmi Kyela

Siku chache baada ya kuanza kutekeleza majukumu yake ya kusaidia jamii ya Kyela kikundi cha Najivunia Kyela Yetu kimezinduliwa rasmi ndani ya Kyela huku kikiweka mikakati yake kwa mwaka 2024. Na Nsangatii Mwakipesile Kikundi cha Najivunia Kyela Yetu Festival chenye…

7 Mei 2024, 17:00

Meja Kodi: Lazima tulinde mipaka yetu iwe salama

“Mkoa wa Kigoma una wageni wengi wanaoingia nchini hivyo hatuna budi kuwa makini na kuhakikisha ulinzi unaimarika katika mipaka ya nchi yetu ili kuhakikisha hakuna tatizo linaokea”. Na, Tryphone Odace – Kigoma Mkuu wa Tawi la Lojistiki na Uhandisi Jeshini, …

7 Mei 2024, 11:17 mu

Mabeyo: Hifadhi ya Ngorongoro inatakiwa ibaki wazi

Katika jitihada za serikali za kuhakikisha eneo la hifadhi ya Ngorongoro libaki wazi kupisha shughuli za uhifadhi,mamlaka ya hifadhi hiyo NCAA wapo katika hatua za mwisho kukamilisha ujenzi wa makao makuu yao wilaya ya Karatu mkoani Arusha. Na Mwandishi wetu.…

6 Mei 2024, 18:08

Watu kadhaa wahofiwa kwa kufa ajali Mbeya

Watumiaji wa barabara wamekuwa wakisisitizwa kutii na kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali zisizo za lazima sambamba na kukagua vyombo vyao kabla ya safari. Na Hobokela Lwinga Watu kadhaa wanahofia kupoteza maisha na wengine kujeruhiwa katika ajali ya roli…

6 Mei 2024, 5:49 um

Maswa queens na Raha queens hakuna mbabe Simiyu

Utamu wa ligi ya wanawake Simiyu wafikia pazuri huku vipaji  vya mpira wa miguu kwa wanawake vikiibuliwa na kupelekea wazazi na walezi wa vijana wa kike kuhamasisha mabinti zao kucheza mpira wa miguu Na,Paul Yohana Fainali ya kwanza  ligi ya…