Radio Tadio

Habari za Jumla

4 April 2024, 10:17

Madaktari bigwa kuweka kambi Mbeya,wananchi kunufaika

Unapokuwa na afya njema inakupa kuwa na mwendelezo wa kutimiza majukumu yako ikiwemo yale ya kiuchumi na yakijamii. Na Ezra Mwilwa Hospital ya Rufaa kanda ya Mbeya Imeandaa kambi maalumu ya upasuaji wa Ubongo, Uti wa mgongo na Mishipa ya…

3 April 2024, 5:05 pm

Mkoa wa Manyara wapaa mashindano Tajwid

Shekhe Kadidi aipongeza BAKWATA kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara Na mwandishi wetu Hawa Rashid Shekhe mkuu wa mkoa wa Manyara Mohamed Kadidi amelishukuru baraza kuu la wa Islam Tanzania BAKWATA  kwa kuuheshimisha mkoa wa Manyara katika mashindano yakusoma Quraan tukufu…

2 April 2024, 3:43 pm

Dkt. Biteko aipongeza Tanesco kurejesha umeme

“Hakuna mgao  wala upungufu wa umeme kwa sasa hiki kilichotokea ni hitilafu kwenye mitambo ya kuzalisha umeme” Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko Na Elias Maganga Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko  amelipongeza shirika la…

2 April 2024, 3:13 pm

Akatwa mapanga usiku akienda kwenye mkesha wa pasaka

Mtu asiyejulikana amemjeruhi kwa mapanga mwanamke anayejulikana kwa majina ya Mariam Sebagi  mkazi wa  mtaa wa Misheni usiku akiwa na wenzake wakielekea kwenye mkesha wa Pasaka mjini Sengerema. Na:Emmanuel Twimanye Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Mariam Sebagi mkazi wa…

2 April 2024, 10:46 am

Ngorongoro yaguswa na bilioni 2.5 za TASAF Arusha

Serikali imekuwa ikiendelea na mpango wa kuzinusuru kaya masikini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF kwa halmashauri zote zilizo kwenye mpango huo, halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ikiwemo. Na mwandishi wetu. Jumla ya shilingi bilioni 2.5 zimegawiwa na serikali kwa…

2 April 2024, 09:56

Kivuko chakwamisha wakulima baada ya kusombwa na maji Buhigwe

Zaidi ya wakulima 700 wanaofanya shughuli za kilimo ng’ambo ya mto Ruwiche katika kata ya Kinazi wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wameshindwa kuendelea na shughuli hiyo baada ya kivuko kinacho unganisha vijiji vya kinazi na nyamihanga kusombwa na maji kufuatia mvua…