Radio Tadio

Habari za Jumla

6 April 2024, 12:33

Machinga Mbeya waitwa kujisajili

Katika hali isiyo ya kawaida Mkoa wa Mbeya wafanya Biashara wadogo maarufu kama Machinga bado hawajapatiwa vitambulisho vya kufanya biashara zao. Na Ezra Mwilwa Wafanya Biashara wadogo maarufu kama Machinga mkoa wa Mbeya wametakiwa kujitokeza kufanya usajili wa kupata vitambulisho…

5 April 2024, 14:11

Wanafunzi kuchukuliwa hatua matumizi ya madawa ya kulevya Kigoma

Wanafunzi mkoani Kigoma wametakiwa kuacha kutumia madawa ya kulevya na endapo atabainika yeyote anayetumia taarifa zitolewe kwa viongozi wao ili achukuliwa hatua za kisheria. Hayo yamebainishwa na Mdhibiti Ubora wa Shule halmashauri ya wilaya ya Kigoma Gibson Ntamamilo wakati wa…

5 April 2024, 13:51

Shughuli za binadamu zaathiri uhifadhi wa wanyamapori Kigoma

Licha ya Serikali na wadau wa uhifadhi nchini kuhimiza utunzaji wa mazingira kwa lengo la kunusuru uhai wa viumbe vinavyoishi kwenye misitu imeelezwa kuwa bado shughuli za binadamu zimeendelea kuathiri uhifadhi wa wanyamapori ikiwemo sokwe. Hayo yameelezwa na Mtafiti Dkt…

4 April 2024, 8:45 pm

Wananchi Katavi watakiwa kuchukua vitambulisho vya taifa

Afisa  Msajili  mamlaka ya vitambulisho vya taifa  wilaya ya Mpanda Mauna Karumbeta akiwa katika Studio za Mpanda Redio Fm .Picha na Anna Milanzi Amewataka wananchi kuthamini juhudi za serikali kwa kufika kuchukua vitambulisho na kuvitunza kwani serikali imetumia gharama“ Na…

4 April 2024, 6:45 pm

Baada ya daraja kubomoka wananchi wakosa huduma Rungwe

wananchi wakishuhudia daraja likisobwa na maji baada ya mvua kunyesha[picha na Lennox Mwamakula] Jamii imeshauriwa kutolima kwenye vyanzo vya maji kwani kunapelekea madhara makubwa kwenye shughuli za kibinadamu. Rungwe-Mbeya Na lennox Mwamakula Wananchi wilayani Rungwe wameiomba serikali kuwajengea daraja lililo…