Radio Tadio

Habari za Jumla

3 Febuari 2025, 6:58 um

Wananchi wanufaika na wiki ya sheria

Picha ya pamoja ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Katavi. Picha na Anna Mhina “Mahakama ni chombo muhimu kwenye utoaji haki” Na Lilian Vicent Baadhi ya wananchi mkoani Katavi wamesema kuwa  kupitia wiki ya sheria wameweza kujifunza  sheria na kutambua…

31 Januari 2025, 7:50 um

Kampuni za uchimbaji madini zawa kero kwa madiwani

Picha ya baraza la madiwani wa halmashauri ya Mpanda. Picha na Edda Enock “Madiwani walalamikia kampuni za uchimbaji madini” Na Edda Enock Baraza la madiwani manispaa ya Mpanda mkoani Katavi limelalamikia kampuni za uchimbaji madini ambazo zinafanya shughuli za uchimbaji…

31 Januari 2025, 7:36 um

Wananchi wataka elimu ya ardhi itolewe

Picha ya mwenyekiti wa baraza  la ardhi na nyumba Katavi Gregory Kalashani. Picha na Anna Mhina. “Wananchi mkoani Katavi wameomba elimu ya ardhi itolewe zaidi” Na Liliani Vicent Baadhi ya wananchi mkoani Katavi wametoa maoni yao kuhusiana na hatua za…

28 Januari 2025, 14:48

Kyela:Wiki ya sheria kyela kumekucha

Wananchi wilayani kyela wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika viwanja vya mahakama ya wilaya ya kyela kwenda kutoa na kero zao ili zitatuliwe katika wiki hii ya sheria. Na James Mwakyembe Hatiamaye maadhimisho ya wiki ya sheria yamezinduliwa rasmi hapa wilayani…

28 Januari 2025, 12:00

Kyela:Asente sana ccm kyela

“siku chache zilipita chama cha mapinduzi ccm wilaya ya kyela kupitia halmashauri kuu wamenitunuku cheti cha shukrani kutambua mchango wangu katika ujenzi wa chama change” Na James Mwakyembe Aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema kabla…

27 Januari 2025, 1:30 um

Bodaboda adaiwa kuuawa na kuporwa pikipiki Nyarugusu

Matukio ya waendesha pikipiki kujeruhiwa na kuporwa vifaa vyao vya kazi yanaendelea kuzua sintofahamu na swali likiwa nani kutegua kitendawili hicho. Na: Edga Rwenduru – Geita Kijana anayekadiriwa kuwa na umri wa 20 hadi 25 ambaye ni dereva pikipiki maarufu…

Januari 27, 2025, 11:52 mu

Mahakama ya wilaya Kahama yazindua wiki ya sheria

kauli mbiu ya mwaka huu ‘‘Tanzania ya 2025 nafasi ya Taasisi zinazosimamia haki madai katika kufikia malengo mkuu ya dira ya Taifa ya maendeleo’’ Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika viwanja…