Radio Tadio

Habari za Jumla

May 6, 2024, 6:28 am

Mwandishi wa habari akamatwa kwa kujifanya usalama wa taifa

Na Denis Sinkonde,Songwe Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, akijitambulisha kuwa ofisa usalama wa Taifa. Kamanda Senga ameyasema…

3 May 2024, 14:35

Ajiua kwa kujirusha kwenye tairi la fuso Mbeya

Maisha ya binadamu yanapopatwa na msongo wa mawazo yamekuwa yakisababisha wengine kuchukua maamzi magumu ya Kujiondoa uhai kwa baadhi ya watu wanaokuwa wanaukosa kutoka kwa watu wao wa karibu. Na Yuda Joseph Mtu mmoja ambaye jina lake halijafamika amefariki dunia…

3 May 2024, 14:00

RC Kigoma awataka vijana kutumika kimaendeleo

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye ameiasa jamii kutumia nguvu kazi ya vijana katika shughuli za Kimaendeleo ili kuongeza uchumi wa taifa na jamii kwa ujumla. Ametoa wito huo wakati…

3 May 2024, 12:06

Wahudumu wa afya acheni lugha chafu kwa wagonjwa

Mkuu wa wilaya Kigoma Mkoani kigoma amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua kali wahudumu wa afya wanaokiuka madili ya kazi zao kwa kutumia lugha chafu kwa wagonjwa ikiwmo kuwasimamisha kazi. Na Orida Sayon – Kigoma Wahudumu wa vituo vya Afya na…

May 3, 2024, 7:28 am

CWT Songwe yawanyima sare walimu siku ya Mei Mosi

Na Denis Sinkonde,Songwe Zaidi ya walimu 5000 wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Songwe wamelalamikia uongozi wa chama hicho taifa kushindwa kuwanunulia sare kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo mkoani Songwe yamefanyika wilayani…

3 May 2024, 12:27 am

Kikokotoo  bado fumbo kwa watumishi wastaafu

Bango la shirika la Posta katika maandamano ya Mei Mosi – Picha na Isidory Matandula Mishahara duni, miundo mbinu mibovu, mikataba mibovu ya ajira, kuchelewa posho za uhamisho na kikokotoo cha wastaafu ni msalaba unaowaelemea watumishi . Na: Isidory Matandula…