Radio Tadio

Habari za Jumla

May 14, 2024, 3:58 pm

Miundombinu ya umeme yaanza kuwekwa mashine za mpunga Kahama

Siku chache baada ya kurusha taarifa ya changamoto ya kukosekana kwa umeme wa kutosha katika eneo la viwanda vidogo na vya kati vya kuchakata mpunga/mchele, lililopo kata ya Kagongwa manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, shirika la Umeme Tanzania TANESCO wilayani…

13 May 2024, 15:41

UNHCR na tanzania zatoa msimamo kwa wakimbizi wa burundi.

Wakimbizi wa nchi ya burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma, wametakiwa Kurejea Nchini Burundi mara moja ili kuungana na ndugu zao kujenga Taifa hilo,  kabla ya kufutiwa hadhi ya Ukimbizi  na kukosa misaada ya Kibinadamu ifikapo Mwezi Desember Mwaka huu. Na, Lucas…

May 11, 2024, 5:00 pm

Hakuna kupita bila kupingwa-ACT Wazalendo

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amekabidhiwa uchifu (utemi wa nchi) na wazee wa Kahama, kuwa mtemi/chifu wa kabila la wasukuma na wanyamwezi. Zoezi hilo limefanyika…

10 May 2024, 8:39 pm

Jamii  yatakiwa kuondoa tofauti zao kumlinda mtoto

Kuongezeka kwa vitendo vya kikatili  na mmommonyoko wa maadili vinasababishwa na baadhi ya wazazi wanapogombana ambapo familia nyingi huathirika kwa kukosa malezi bora na  muelekeo mzuri katika maisha yao Na Marino Kawishe Kuelekea siku ya familia duniani  ambayo huadhimishwa kila…

May 10, 2024, 6:38 pm

Wanafunzi wapatiwa elimu ya mlipa kodi na TRA

“Mafunzo ambayo tunayaandaa yanalenga kuwafundisha vijana wetu wakiwa wadogo hasa wanafunzi wa shule za Msingi, Sekondari na vyuoni kujua maana ya kulipa kodi, umuhimu wa kodi ni nini, kwanini serikali zote duniani zinaweka kodi. Kodi ni malipo ya lazima ambayo…

10 May 2024, 18:21

Waziri Mkuu ziarani Kyela

“Tupo tayari kumpokea waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ili aje aone namna fedha za zinazotolewa na raisi samia jinsi zinavyofanya kazi za maendeleo hapa wilayani”. Na Masoud Maulid Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Kasim…