Radio Tadio

Habari za Jumla

17 June 2024, 15:34

Waislamu wametakiwa kuwajali wasiojiweza

Wakati waislamu duniani kote wakiwa wameungana kusherekea siku ya Eid El Hajj wito umetolewa kwao kuendelea kuwasaidia watu wasiojiweza hasa wanaishikatika mazingira magumu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameaswa kusherehekea sikukuu…

16 June 2024, 11:39

Wawili wafariki, 16 kujeruhiwa Mafinga

Na Bestina Nyangaro Watu wawili wamefariki Dunia na wengine 16 kujeruhiwa, wakiwemo watumishi 6 wa shirika la umeme (TANESCO) Mafinga na wakatamiti katika shamba la miti Sao Hill. Ajali hiyo imetokea Juni 15, 2024 ikihusisha gari namba T195 EDF aina…

15 June 2024, 11:15 am

Wazazi Katavi waaswa kutowaozesha mabinti katika umri mdogo

“Wazazi wanachangia mimba za utotoni kwa watoto wao kutokana na kuruhusu watoto hao kuwa na mahusiano katika umri mdogo“ Na Lilian Vicent -Katavi Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo hufanyika kila  tarehe 16 Juni kila mwaka, halmashauri…

14 June 2024, 9:07 am

Dc Ngorongoro:Tatueni migogoro kwenye kata zenu

Na Zacharia James Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro Mhe.kanali Wilson Sakulo amewataka waheshimiwa madiwani kushiriki kikamilifu kusaidia kutatua migogoro yote iliyopo katika maeneo ya kata zao kwani wao wananguvu kubwa na imani ya Wananchi wao. Ameyasema hayo katika mkutano wa…

12 June 2024, 3:17 pm

Madereva Tax Katavi watakiwa kufuata sheria za usalama barabarani

mkaguzi msaidizi Jofrey Brighton kutoka jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Katavi akiwa anafanya ukaguzi “baadhi ya madereva wamekuwa wakifanya makosa ya kuzidisha abiria, kupakia abiria pamoja na mizigo hatarishi“ Na John Benjamini-Katavi Madereva wa Tax maarufu probox…