Habari za Jumla
28 June 2024, 6:50 pm
Serikali yatoa bil.4 ujenzi shule ya wavulana Manyara
Sendiga azindua shule ya sekondari ya wasichana ya mkoa wa Manyara ambayo inatarajia kupokea wanafunzi wakike 142 wa kidato cha tano wa mchepuo wa masomo ya Sayansi kutoka mikoa mbalimbali nchini. Na George Augustino Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen…
28 June 2024, 5:15 pm
BoT yazitaka taasisi za kifedha Manyara kujisajili
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kutokuchukua mikopo kwa wakopeshaji binafsi ili kuondokana na riba kandamizi pamoja na kujua sheria itakayo mlinda pindi anapochukua mkopo katika Taasisi za kifedha Na Emmy Peter Tasisi za huduma ndogo za fedha zinazokopesha fedha wilayani Babati mkoa wa…
27 June 2024, 08:06
Waraibu 12 wa DAWA za kulevya wanapatiwa matibabu Iringa
MUFINDINa Witness Alex Wakati leo june 26, dunia ikiadhimisha siku ya mapambano dhidi ya dawa za kulevya, waraibu wapatao 12 wanaendelea kupata msaada wa kuacha kutumia dawa za kulevya katika Nyumba Ya Upataji Nafuu (Iringa Soba House) mkoani Iringa.JACKSON MACHOWA…
27 June 2024, 07:52
Mufindi DC yapata hati safi 2022/2023
Na Witness Alex Mufindi Mkuu Wa Mkoa Wa Iringa Mhe Peter Serukamba Ameipongeza Halmashauri Ya Wilaya Ya Mufindi Kwa Kupata Hati Safi Kutoka Kwa Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali (CAG) Kwa Mwaka Wa Fedha 2022/2023. Leo Juni…
26 June 2024, 12:39
kambi ya SKAUT yafungwa Songwe
Kambi ya Vijana wa SKAUT ngazi ya Mkoa katika mkoa wa songwe imetoa matokeo chanya kwa vijana washiriki mkoni Songwe. Na mwandishi wetu,Songwe Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Ester Mahawe, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe.…
25 June 2024, 4:06 pm
Wajasiriamali tumieni masoko Kimataifa
kutokana na Soko la ndani kuwa huru wanawake wajasiriamali mkoani Manyara wametakiwa kuzingatia ubora wa bidhaa wanazo zalisha Ili kuendeleza masoko ya ndani na nje ya nchi ili kuwainua kiuchumi kutokana na fursa zilizopo. Na Angela Munuo Wanawake wajasiriamali wilayani…
24 June 2024, 18:12
Ken Gold FC kukamilishiwa ujenzi uwanja na halmashauri ya wilaya ya Chunya
Chunya imepania kukamilisha zoezi la ujenzi wa uwanja kabla ya kuanza msimu mpya wa ligi kuu Tanzania, yatenga Tsh.200 milioni. Na Ezekiel Kamanga Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Tamim Kambona amesema Halmashauri yake imetenga shilingi milioni mia mbili…
24 June 2024, 15:47
Wanawake watakiwa kupeana ujuzi kuyafikia malengo
Naibu waziri Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari mhandisi Maryprisca Winfred Mahundi amewataka wanawake wenye malengo ya kujiendeleza kiuchumi kutokuwa wabinafsi katika kupeana ujuzi na maarifa ya mafanikio waliopata na kutembea pamoja bila kuwekeana chuki na husuda kwa mafanikio ya mtu…
22 June 2024, 5:58 pm
RAS Arusha aahidi kumleta Makonda Ngorongoro
Kwa mujibu wa Katibu Tawala Mkoa wa Arusha lengo la mkoa ni kufikia (single digit) yaani chini ya hoja kumi ambazo zimefikia lengo ni halmashauri 5 pekee. Na Zacharia James. Katibu tawala wa mkoa wa Arusha mhe. Massaile Albano Musa…
22 June 2024, 5:25 PM
Wananchi wenye sifa, wazalendo jitokeze kugombea uchaguzi serikali za mitaa
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mtwara DAVID MOLEN amesema katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu ni vizuri Wananchi wenye sifa ikiwemo uzalendo kujitokeza na kugombea nafasi hizo. Molen ametoa hamasa hiyo wakati akifanyiwa mahojino…