Radio Tadio

Habari za Jumla

06/03/2026, 16:46

Elimu ya kukabiliana na maafa yatolewa wilaya ya Kati

Na Hakika Mwinyi. Kamati za kukabiliana na maafa zimetakiwa kuwa na uelewa mpana kuhusu hatari zinazoweza kujitokeza katika jamii, hususan katika kipindi hiki cha mvua za masika zinazoendelea kunyesha. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Divisheni ya Elimu Kinga na…

Machi 6, 2026, 1:46 um

Kuelekea siku ya wanawake Manyara

Wanawake wametakiwa kutokutumia 50 kwa 50 vibaya kwa kutokutimiza majukumi yao Na Kudra Massaga Kuelekea siku ya wanawake duniani machi 08 , wanawake Mkoa wa Manyara wametakiwa kulea familia zao ili kujenga mahusiano mazuri katika ngazi za familia na jamii…

05/03/2026, 17:21

Nkubhagana ataja faida za ufugaji wa nyuki

“Ufugaji wa nyuki una faida nyingi kutokana na matumi zake kuwa mengi pia” Na; Helbeth Barayata Wananchi wa Halimashauri ya Mji kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kujishughurisha na ufugaji wa nyuki, uchakataji na uuzaji wa mazao yanayotokana na mazao ya asali…

05/03/2026, 17:02

TPF-Net yaleta neema ya maji kambi ya Polisi Ziwani

Na Denis Mtamwega. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar Anna Atanas Poul, amezindua rasmi mradi maalum wa maji katika Kambi ya Polisi Ziwani, Zanzibar, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-Net). Uzinduzi…

5 Machi 2026, 1:47 um

Ukosefu wa shule Mbogwe watoto wageuka vibarua mashambani

“Watoto wetu wanateseka” Na Anna Mhina Wananchi wa kitongoji cha Mbogwe kilichopo kijiji na kata ya Kabungu wilayani Tanganyika mkoani Katavi wameiomba serikali kuingilia kati ujenzi wa shule ya msingi ulioanzishwa katika kitongoji hicho. Wakizungumza na Mpanda radio FM wananchi…

Machi 5, 2026, 1:45 um

Watakiwa kuwalinda na kuwahifadhi wanyama

Ikiwa tarehe 03 machi ilikuwa ni siku ya wanyamapori duniani wananchi wamekumbushwa kuwalinda wanyama Na Kudra Massaga Wananchi wametakiwa kusaidiana na wahifadhi wa wanyamapori katika kuwatunza na kuwahifadhi wanyama ili wazidi kuendelea kuwepo kwa kizazi cha sasa na cha baadae…