Radio Tadio

Habari za Jumla

24 March 2021, 9:09 am

Rais Magufuli ameacha alama njema kwa Taifa la Tanzania

Na ;Mariam Kasawa. Waziri wa Nchi ofisi ya waziri mkuu, Sera,Bunge,ajira ,vijana na wenye ulemavu Bi. Jenista Mhagama amesema kamati iliyo pewa kazi ya  kufanya maandalizi yote ya mazishi imekamilisha maandalizi hayo na bado inaendelea kusimamia mambo mbalimbali. Bi. Mhagama ameyasema hayo…

23 March 2021, 18:05 pm

Naliendele Mtwara wamlilia Hayati Magufuli

Wananchi wa kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani wametoa salamu za pole kwa Watanzani kufuatia  kifo cha Rais Dkt.John Pombe Magufuli kilichotangazwa usiku wa kuamkia leo Machi 18,2021. Wakizungumza kwa masikitiko makubwa wameeleza namna ambavyo watamkumbuka Rais Dkt.Magufuli kwa…

23 March 2021, 11:36 am

Bendera za UN kupepea nusu mlingoti

Na; Mariam Kasawa. Umoja wa Mataifa (UN) umesema Bendera ya Umoja huo itapepea nusu mlingoti katika Ofisi za Makao Makuu jijini New York Nchini Marekani.  Bendera hiyo itapepea Machi 26, 2021 ili kumuenzi Rais John Magufuli ambaye atazikwa siku hiyo…

23 March 2021, 10:24 am

Udugu na Umoja wadhihirika Zanzibar leo

Na; Mariam Kasawa Mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati  Dkt.John Magufuli utalala Ikulu Zanzibar leo Jumanne Machi 23, 2021 na kesho asubuhi utapelekwa Mkoani Mwanza. Hayo yameelezwa leo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa kwenye uwanja wa Amaan Zanzibar…

23 March 2021, 6:34 am

Magufuli Alijenga Heshima ya Tanzania

Na; Mariam Kasawa. Imeelezwa kuwa, kufuatia Marekebisho yaliyofanywa katika Sheria ya Madini ambayo ni Matunda ya jitihada za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yameifanya  Tanzania iheshimike kimataifa. Hayo yamebainishwa…

23 March 2021, 6:23 am

Buriani Magufuli Dodoma haitakuona tena

Na; Mariam Kasawa. Hatimaye zoezi la kuuaga mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli limekamilika Jijini Dodoma na sasa ni zamu ya Zanzibar. Leo Machi 23 2021 wananchi wa Zanzibar watapata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho kwa rais…