Radio Tadio

Habari za Jumla

Aprili 21, 2021, 5:08 um

Mchinjaji wa Nguruwe akamatwa na TAKUKURU Manispaa ya Kahama

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilayani Kahama imebaini uchinjaji wa mifugo kiholela ikiwemo iliyokufa hali ambayo inahatarisha afya za watumiaji wa nyama ambazo zinauzwa bila kufanyiwa uchunguzi na maafisa mifugo. Mkuu wa TAKUKURU, Abdallah Urari amesema walipokea…

21 Aprili 2021, 12:24 UM

MAMCU wafanya mkutano mkuu wa 21 wa mwaka

WAKULIMA wa Chama kikuu Cha Ushirika wa wakulima Masasi-Mtwara( MAMCU) hii leo April 21 – 2021 wanafanya mkutano mkuu wa 21 wa mwaka wenye lengo la kuchagua viongozi wa bodi wa Chama hicho ikiwemo kusoma mapato na matumizi.   Mkutano huo…

21 Aprili 2021, 10:29 mu

DED Mwingine kupisha uchunguzi huko Buhigwe,Kigoma.

Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, Anosta Nyamoga kupisha uchunguzi. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Aprili 21, 2021 na kitengo cha mawasiliano serikalini imeeleza kuwa  Ummy amechukua hatua hiyo baada…

20 Aprili 2021, 4:06 um

Mbunge Tabasamu azungumuzia kutumbuliwa DED Sengerema

Taarifa iliyotolewa leo Aprili 20, 2021, Waziri Ummy Mwalimu amemusimamisha kazi Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya ya Sengerema,  Magesa Boniphace kupisha uchunguzi  baada ya kupokea malalamiko na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo katika halmashauri hiyo kutoka…

20 Aprili 2021, 15:59 um

Waandishi someni sheria

Na Karim Faida Waandishi wa habari Tanzania wameaswa kuzisoma na kuzielewa Sheria mbalimbali zinazohusiana na tasnia yao hasa sheria ya haki ya kupata taarifa iliyopitishwa na bunge Septemba 7 2016 na kuidhinishwa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa…

20 Aprili 2021, 12:26 um

Charles; Marufuku watoto kufanya biashara kwenye masoko Mara

Mwenyekiti wa wajasiliamali mkoa wa Mara ndugu Charles Waitara amewataka wajasiliamali  wote mkoa wa Mara kutojihusisha na kuwaajiri watoto katika maeneo ya biashara Kauli hiyo ameitoa April 19 2021  katika mkutano wa hadhara na wajasiliamali eneo la balili kona,  lakini…