Radio Tadio

Habari za Jumla

28 Mei 2021, 11:30 mu

Jumla ya Vijiji 45 vya Wilaya ya Maswa kunufaika na TASAF awamu…

Jumla  ya  vijiji  Arobaini  na  tano  vilivyopo  Wilayani  Maswa  Mkoani  Simiyu  vinatarajiwa  kunufaika   na  Mfuko wa  maendeleo  ya  Jamii i – TASAF  kwa  awamu  ya  tatu  kipindi  cha  Pili. Hayo  yameelezwa  na  Mratibu  wa  TASAF  wilaya  ya  Maswa   Bi, Grace …

26 Mei 2021, 8:41 um

Kaya masikini elf6 kunufaika na Tasaf nchini.

Jumla ya kaya masikini elfu sita nchini zinatalajia kunufaika na mradi wa kunusuru kaya masikini TASAF awamu ya pili huku walengwa millioni moja laki nne na elfu hamsini watanufaika na mradi huo.Hayo yamebainishwa na Bwn Swaleh Mwidad mwakilishi wa mkurungezi…

Mei 25, 2021, 7:25 um

Watakaofichua taarifa za ukatili wa kijinsia kulindwa

Imeelezwa vitendo vya rushwa katika jamii imekuwa miongoni mwa sababu inayochangia vitendo vya ukatili wa kijinsia kuendelea kutokea katika jamii na kupelekea waathirika wa matukio hayo kukosa haki. Mratibu Taifa wa mtandao wa Utetezi wa haki za Binadam- THRDC Onesmo…

22 Mei 2021, 8:58 um

jeshi la polisi lawashikilia watano kwa mauaji simiyu

Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu linawashikilia watu watano kwa tuhuma za  mauaji ya mtu mmoja. Hayo yamesemwa na kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Simiyu ACP Richard Abwao wakati akitoa taarifa kwa waandishi wa habari na kuongeza kuwa…

21 Mei 2021, 4:47 um

Mwauwasa yakabidhi mradi mkubwa wa maji mjini Sengerema.

Mamlaka ya maji  mjini mwanza  (MWAUWASA) wamekabidhi mradi wa maji kwa mamlaka ya maji mjini Sengerema  uliojengwa kwa kiasi cha zaidi billioni moja hadi kukamilika na unatarajia kunufaisha  watu elfu kumi uliopo katika kata ya Nyampande Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza.…

20 Mei 2021, 19:12 um

Hodi Mtwara, Brigedia Jenerali Gaguti

Na Karim Faida Mkuu wa mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewaomba wananchi wa Mtwara kumpa ushirikiano zaidi ya ule alioupata aliyekuwa mkuu wa mkoa huu Ndugu Gelasius Byakanwa. Amesema hayo leo katika ukumbi wa Boma uliopo katika ofisi…