Habari za Jumla
6 Septemba 2021, 4:43 um
Bunda: Tembo aua mmoja ajeruhi mmoja
By Adelinus Banenwa Kwandu Mtorogo (67) mkazi wa mtaa wa butakare kata ya bunda stoo wilayani bunda amepoteza maisha kwa kukanyagwa na tembo wakati anatoka kusenya kuni Tukio hilo limetokea leo sept 5, 2021 ambapo kwa mujibu wa mashuuda wamesema…
3 Septemba 2021, 9:01 mu
Wanaume wa mahanzi iringa wapigwa na wake zao
Iringa Na Hafidh Ally Wanaume wa Kijiji cha Mahanzi Kilichopo Kata ya Wasa Wilaya ya Iringa wamelalamikia vitendo vya wanaume kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa na wake wao. Wakizungumza katika Ziara ya kikazi ya Mkuu wa Wilaya…
2 Septemba 2021, 7:55 um
Bunda; 4 Sept 2021 siku ya usafi wilaya nzima
By Hawa Mbulula Katibu tawala wa wilaya ya bunda Salum Mtelela ametoa wito kwa wananchi wote wa bunda kwa ujumla kuwa tarehe 4/9/2021 siku ya jumamosi ni siku ya usafiĀ mkoa wa mara Mteela ameyasema hayo leo sept 2 ,2021…
2 Septemba 2021, 8:56 mu
Aliyekuwa DC Bunda aagwa baada ya kustaafu
By Adelinus Banenwa Umoja wa watumishi Makada wilaya ya Bunda mkoani Mara,leo umefanya sherehe ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Bunda mwalimu Lydia Bupilipili na kumkaribisha mkuu wa wilaya ya Bunda Mheshimiwa Joshua Nasarr. Akizungumza wakati wa kufungua sherehe…
1 Septemba 2021, 4:53 MU
Matukio ya mkesha wa mwenge wilayani Masasi (PICHA)
1 Septemba 2021, 4:46 MU
MASASI: KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa uhuru Luteni, Josephine Mwambashi amekataa…
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa uhuru Luteni, Josephine Mwambashi amekataa kuzindua mradi wa maji wa Chipole uliopo kijiji katika cha Chipole halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara. Hali hiyo imejitoleza leo katika mbio za mwenge ambapo mwenge wa uhuru…
31 Agosti 2021, 2:14 UM
Mwenge Wa Uhuru Wa Zindua Miradi Mbalimbali Ndani Ya Wilaya Ya Masasi Leo.
Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru Luteni Mwambashi amegiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kuchunguza ujenzi wa Jengo la utawala Halmashauri ya Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara linalojengwa maeneo ya Mbuyuni . Mwambashi ameyasema hayo wakati wa…
28 Agosti 2021, 8:36 um
TARURA Maswa Kuboresha Barabara zote za Kiuchumi
Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini Wilayani Maswa Mkoani Simiyu Mhandisi David Msechu amewaomba Madiwani Kushirikiana na kamati za maendeleo za kata ili kulinda Miundo mbinu ya Barabara zinazojengwa ili zidumu zaidi.. Hayo ameyasema katika kikao cha …
26 Agosti 2021, 1:00 um
Baadhi ya vijana walalamikiwa kushindwa kurudisha mikopo inayotolewa na halmasha…
Na; Benard Filbert. Licha ya Serikali kupitia Halmashauri mbalimbali Nchini kutoa mikopo kwa makundi mbalimbali imeelezwa kuwa moja ya changamoto kubwa ni baadhi ya vijana kushindwa kurudisha mikopo hiyo. Hayo yameelezwa na afisa maendeleo Jiji la Dodoma Bw. Daniel Manyama…
26 Agosti 2021, 5:16 MU
CHAMA Cha Mapinduz Kimewazawadia Vyeti Maalumu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Masasi mkoani Mtwara kimewazawadia vyeti maalumu vya kutambua mchango na juhudi wanazozifanya ndani ya Chama hicho ikiwemo kufanikisha upatikanaji wa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani mwaka 2020 Wanachama…