Radio Tadio

Habari za Jumla

6 March 2021, 14:54 pm

KIWOHEDE yatoa Taulo za kike siku ya wanawake Duniani

Siku ya wanawake Duniani imeadhimishwa leo Machi 6, 2021 katika Kata ya Nanguruwe Halmashauri ya wilaya ya Mtwara kwa taasisi na Mashirika ya mbalimbali kuwashika mkono wanawake katika kuadhimisha sikukuu hii muhimu. Mkuu wa wilaya ya Mtwara Danstan Kyobya amesema…

5 March 2021, 1:28 pm

Halmashauri yahamisha mnada wa Msalato

Na, Shani Nicholous, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imepanga kuuhamishia mnada wa Msalato pembezoni mwa Soko la Jobu Ndugai lililopo Kata ya Nzuguni. Mpango huo umepangwa kutekelezwa kabla ya nusu ya mwaka huu ambapo mnada huo unatarajiwa kuanzia juma…

5 March 2021, 1:14 pm

Wananchi Makulu wachekelea umeme wa REA

Na,Victor Chigwada, Dodoma. Wananchi wa Kata ya Dodoma Makulu jijini Dodoma wameishukuru Serikali kwa kufanikisha kusambaza umeme kupitia mpango wa umeme Vijijini REA, kwani kwa sasa huduma hiyo imefikia idadi kubwa ya kaya. Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya…

4 March 2021, 9:51 am

Jamii yasisitizwa kuendelea kuchukua tahadhari .

Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi ameonyesha kuridhishwa kwake na utendaji kazi wa kitengo kinachosimamia utekelezaji wa afua mbalimbali katika kitengo cha magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa namna ambavyo kimekuwa kikifanya majukumu yake na kutoa mrejesho chanya katika utekelezaji…