Radio Tadio

Habari za Jumla

17 March 2021, 1:47 pm

Jiji laboresha miundombinu ya maji

Na, Alfred Bulahya, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imetenga fedha kiasi cha shilingi bilioni 1 kwaajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya maji na barabara ndani ya jiji. Fedha hizo zimetengwa kupitia bajeti ya mwaka 2021/2022 wakati wa…

17 March 2021, 1:39 pm

Dodoma Jiji yaikabili Biashara

Na Matereka Junior Wakati ligi kuu bara ikiwa imesimama kupisha timu ya Taifa iliyopo Kenya kujiandaa na mechi za kufuzu mataifa Afrika, AFCON, Ligi ya timu za vijana wa chini ya miaka 20 za timu zote za ligi kuu inashika…

16 March 2021, 9:31 am

REPOA:Vijana elfu 60 wapata ajira kwenye sekta rasmi

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Inakadiriwa kuwa kila mwaka kati ya vijana elfu hamsini hadi elfu sitini ni miongoni mwa vijana milioni moja wanaoingia kwenye soko la ajira, na kubahatika kupata ajira kwenye sekta rasmi kwa mujibu wa utafiti wa taasisi ya…

16 March 2021, 08:02 am

Bibi Esha apata makazi Mapya

Jamii fm radio kwa kushirikiana na Wanasalam kanda ya kusini yaani Mikoa ya Mtwara na Lindi pamoja na wadau wengine wamefanikiwa kujenga nyumba katika eneo la Mtaa wa Namayanga Kata ya Mtawanya Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa ajili ya Bibi…

16 March 2021, 4:08 AM

HOSPITALI ya Mkomaind imenunua mashine ya X-ray

HOSPITALI ya Mkomaindo iliyopo halmashauri ya mji Masasi mkoani Mtwara imenunua mashine tatu za kisasa ikiwemo mashine ya X-ray ambayo ni Digital X-ray Mashine ambapo mashine hizo tatu zina thamani ya sh.161 milioni lengo likiwa ni kuboresha upatikanaji wa huduma…

15 March 2021, 10:59 am

Wanabari pingeni ukeketaji

Waandishi wa habari wa redio za jamii nchini wametakiwa  kuelimisha jamii juu ya kupinga ukeketaji na ndoa za utotoni  dhidi ya wanawake na watoto hayo yamezungumzwa na afisa maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya Arusha Angela Kiama Mvaa katika…