Radio Tadio

Habari za Jumla

7 April 2021, 5:42 am

Rais kuhudhuria siku ya mashujaa (Karume day) Zanzibar

Na; Mariam Kasawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan jana tarehe 06 Aprili, 2021 aliwasili Zanzibar akitokea Jijini Dar es Salaam ambapo atahudhuria maadhimisho ya Siku ya Mashujaa (Karume Day) itakayofanyika katika Ofisi Kuu ya…

6 April 2021, 12:36 pm

Wakazi wa Matumbulu wapata neema ya umeme

Na; Benald Flbert Baada ya hivi karibuni Dodoma fm kuripoti taarifa kuhusu ukosefu wa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo ya Kata ya Matumburu, shirika la umeme TANESCOMkoa wa Dodoma limeanza kusambaza nguzo kwa ajili ya kuwaunganishia huduma hiyo.…

6 April 2021, 9:40 am

Rais Samia ataka wananchi wasizuiwe kueleza kero zao.

Na; Mariam Kasawa. Rais  wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema viongozi wa kitaifa wakikutana na mabango katika ziara zao, atawaondoa kazini mkurugenzi wa halmashauri na wakuu wa wilaya husika. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne  Aprili 6, 2021  Ikulu jijini…

6 April 2021, 7:01 am

Rais Samia ateua, atengua Mkurugenzi ndani ya saa 12

Na; Mariam Kasawa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya petroli Tanzania (TPDC), Thobias Richard ikiwa ni chini ya masaa 24 tangu kuteuliwa kwake. Rais Samia alimteua…

4 April 2021, 8:54 pm

Makamu wa rais atoa maagizo mazito kwa TRA Nchin

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewataka Watumishi wote wa Umma na Watanzania kufanya kazi kwa Bidii, Uadilifu na weledi pamoja na  kumtanguliza Mwenyezi Mungu. Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango ameyasema…

3 April 2021, 8:34 am

SERIKALI YASITISHA BEI MPYA ZA VIFURUSHI VYA INTANETI

Kufatia malalamiko ya baadhi ya watumiaji wa mitandao ya Internet Nchini,baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo ni habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu…

2 April 2021, 5:27 pm

Billioni 1 kujenga makao makuu ya halmashauri.

Halmashauri ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imepokea kiasi cha pesa za KitanzaniaTsh. Billioni Moja kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu ya halmashauri hiyo. Taarifa ya kupokea pesa hizo imetolewa katika kikao cha baraza la madiwani kwenye kikao cha…

2 April 2021, 4:52 pm

Dallo- watumishi acheni kutumia neno mchakato

Katibu wa chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Bunda mkoani Mara Ramamdhani Dallo amewataka watumishi wa umma na wakuu wa idara halmasauri ya wilaya ya Bunda kuacha mara moja kutumia neno mchakato na badala yake wajielekeze katika kutekeleza miradi ya…