Radio Tadio

Habari za Jumla

16 April 2021, 09:28 am

BAKITA wawapiga msasa waandishi wa Habari

Waandishi wa habari mkoa wa Mtwara wamepokea mafunzo ya namna sahihi ya matumizi sahihi ya lugha ya kiswahili kutoka Baraza La Kiswahili Tanzania (BAKITA). Mafunzo hayo yametolewa Aprili 15, 2021 na kaimu mtendaji mkuu wa Baraza la Kiswahili Tanzania Bi.…

16 April 2021, 07:54 am

Mwanafunzi: mkaa unanisaidia sana

Kauli ya “Kazi ziendelee inayotumika kama salam ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hasan imeendelea kuwafuta machozi Watanzania kwa kuwa kauli hiyo inazidi kuwapa nguvu na ari ya kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.…

16 April 2021, 07:46 am

Tuilinde Amani kwa nguvu

Wananchi wa Kijiji cha Ngorongoro kata ya Nanguruwe halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wameaswa kuendelea kuilinda amani kwa maslahi ya mtu mmoja mmoja, Mkoa na Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa jana April 14 2021 na Diwani wa kata…

16 April 2021, 07:39 am

Mwenyekiti awasaka wanafunzi majumbani

Mwenyekiti wa mtaa wa Geza ulole kata ya Majengo Manispaa ya Mtwara mikindani mkoani Mtwara Ndugu Jafari Likulangu Amekuwa na utaratibu wa kupita nyumba hadi nyumba kufuatilia mwenendo wa masomo kwa wanafunzi wa mtaa wake kwa kukagua daftari zao. Mwenyekiti…

15 April 2021, 6:00 pm

Wananchi washiriki kutengeneza madawati Geita

Na Paul Lyankando: Serikali ya kijiji cha Ikunguigazi wilayani mbogwe mkoani Geita kwa kushirikiana na wananchi wameendelea kutengeneza madawati ili kuondoa changamoto ya wanafunzi zaidi 890 kusomea chini. Mwenyekiti wa kijiji cha Ikunguigazi Bw Jumanne Manyasa amesema kwa kushirikiana na…

15 April 2021, 1:55 pm

Serikali yatatua changamoto ya madarasa Membe

Na; Benard Filbert. Serikali katika Kata ya Membe Wilayani Chamwino imetatua changamoto ya madarasa iliyokuwa ikikwamisha wanafunzi kujiunga na kidato cha kwanza 2021 kwa kujenga vyumba vya madarasa. Hayo yameelezwa na diwani wa Kata ya Membe Bw.Simon Petro wakati akizungumza…

15 April 2021, 1:34 pm

Wazee kuendelea kunufaika na sera ya matibabu bila malipo

Na; Selemani Kodima. Serikali imesema itaendelea kuwatambua wazee wenye umri wa miaka 60 na kuendelea  wasio na uwezo ili kunufaika na sera ya matibabu bila malipo. Hayo yamesemwa leo bungeni na Naibu Waziri TAMISEMI Dkt Festo Dugange wakati akijibu swali…