Radio Tadio

Habari za Jumla

9 September 2024, 7:51 pm

Green Samia kutoa elimu ya mazingira kwa vijana

Na Mariam Kasawa. Bwn. Reuben Chacha mhandisi wa mazingira kutoka mkoani Iringa anasema kijana ni muathirika namba moja katika mabadiliko ya tabianchi kutokana na shughuli wanazo fanya ambazo si rafiki kwa mazingira hivyo kupelekea mabadiliko ya tabianchi. Amesema kupitia vijana…

September 9, 2024, 5:19 pm

wananchi wametakiwa kuacha Mila potofu juu ya ugonjwa wa fistula

Mshana amewataka wanawake wajawazito wanapopata uchungu wanashauriwa kufika hospitali mapema pasipo kutumia dawa za asili ili aweze kujifungua salama. Na Sebastin Mnakaya Wananchi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekiwa kuacha tabia ya imani potofu ya kudhani ugonjwa wa fistula unawapata wanawake…

September 9, 2024, 3:49 pm

Auawa kwa kuchomwa moto na wasiojulikana Ushetu

“Tukio hili ni kwanza kutokea katika kijiji hiki na hatufahamu kabisa akina nani wamefanya tukio hili na hatumfahamu huyu mtu lakini kwa vile polisi wamefika uchunguzi utafanyika na itajulikana hii ni mara ya kwanza kwa tukio kama hili” Na Mwandishi…

5 September 2024, 8:02 pm

Mgogoro wa ardhi Zanka mbioni kutatuliwa

Mbunge wa jimbo la bahi mh Kenneth Nolo mkoan Dodoma amehahidi kumaliza mgogoro wa ardhi unaowakabili wanachi wa kijij cha Zanka Mgogoro wa ardhi Zanka mbioni kutatuliwa Na Nazaeli Mkude Mbunge wa jimbo la Bahi Mhe, Kenneth Nolo Mkoan Dodoma…

5 September 2024, 8:02 pm

Katiba na Sheria yazindua kituo cha huduma kwa mteja  

Kituo hicho kinalenga kupokea taarifa za rushwa malalamiko na hoja kutoka kwa wananchi. Katiba na Sheria yazindua kituo cha huduma kwa mteja   Na Mindi Joseph . Wananchi Mkoani Dodoma wamepongeza kuzinduliwa kwa Kituo cha utoaji huduma kwa wateja kinacholenga…

5 September 2024, 6:04 pm

Mwalimu afungwa jela maisha kubaka mtoto wa miaka 7

Na Khadja Omary Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Lindi imemuhukumu Hassan Saddi, mwenye umri wa miaka (28) mkazi wa Mchinga Mkoani Lindi kutumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela na kumlipa muhanga fidia ya shilingi Laki Tano (500,000/=) kwa…

5 September 2024, 3:42 pm

Wananchi wakerwa kusuasua ujenzi wa barabara

Kusuasua kwa ujenzi wa barabara yenye urefu wa mita 600 mkabala na kituo kikubwa cha magari ya abiria mjini Geita hadi soko la Mbagala kunatajwa kuongeza changamoto. Na: Kale Chongela – Geita Akizungumza kwa niaba ya madereva wenzake ambao hutumia barabara…