Radio Tadio

Biashara

11 Disemba 2022, 6:51 um

HOFU YA JANGA LA NJAA WAKULIMA WATAHADHARISHWA RUANGWA

Wakulima wabnaohudumiwa na chama kikuu cha Ushirika RUNALI kinachohudumu katika wilaya za Ruangwa,Nachingwea na Liwale mkoani Lindi, wametakiwa kutumia pesa zao za korosho kununua chakula na kuhifadhi kutokna na uwapo wa dalili ya janga la njaa lililosabishwa na ukame kwa…

16 Novemba 2022, 12:19 um

Ukubwa wa riba kikwazo kwa wakopaji mikopo

Na; Eva Enock. Imeelezwa kuwa ukubwa wa riba pamoja na elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha za mikopo ni miongoni mwa sababu zinazopelekea baadhi ya watu kushindwa kurejesha mikopo. Hayo yameelezwa na baadhi ya wananchi jijini Dodoma wakati wakizungumza…

3 Novemba 2022, 5:58 mu

Wanawake Mkoani Katavi Wameeleza Walivyonufaika na Wiki ya Mwanakatavi

KATAVI Baadhi ya wanawake wajasiliamali mkoani Katavi wameeleza namna ambavyo wamenufaika na maonesho ya wiki ya Mwanakatavi yanayolenga kuhamasisha kilimo na Utalii. Wakizungumza wakati wa maonesho hayo wajasiliamali hao wamesema maonesho hayo licha ya kuwanufaisha kibiashara pia wanapata nafasi ya…

20 Oktoba 2022, 5:11 mu

Wafanyabiashara Kilimahewa Waomba Kuboreshewa Miundombinu

MPANDA Wafanyabiashara wa soko la kilimahewa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameuomba uongozi wa halamshauri hiyo kuboresha miundombinu katika soko jipya la kawalioa. Wakizungumza na Mpanda fm wafanyabiashara hao wamesema  kuwa licha ya kuwepo kwa taarifa ya kuhamia katika soko…

14 Oktoba 2022, 5:51 mu

Wajasiriamali Walalamikia Wateja Wasiowaaminifu

  MPANDA Wajasiriamali Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamikia Tabia isiyofaa inayofanywa na baadhi ya wateja ya kuchukua bidhaa kwa mkopo na kuchelewa kuwalipa jambo ambalo linarudisha nyuma maendeleo yao kiuchumi. Wakitoa malalamiko hayo wakati wakizungumza na kituo hiki wajasiliamali…