Biashara
9 March 2023, 3:28 pm
Kituo kidogo cha daladala chatajwa kutoa fursa mbalimbali
Kituo kidogo cha daladala katika eneo la swaswa mnarani jijini dodoma imetajwa kuwa na fursa kubwa kwa baadhi ya wakazi wa eneo hilo kujipatia kipato. Na Thadei Tesha. Uwepo wa kituo kidogo cha daladala katika eneo la swaswa mnarani jijini…
3 March 2023, 1:14 pm
Wauzaji wa gesi watakiwa kuwa na mizani ya Vipimo
Hayo ameyasema leo wakati akifungua mafunzo ya wafanyabishara wa gesi za kupikia yaliyoandaliwa na wakala wa Vipimo mkoa wa Dodoma ambapo amewataka wakala huo kuhakikisha baada ya siku 60 wafanyabiashara wa gesi za kupikia wanakuwa na mizani ya vipimo sahihi.…
27 February 2023, 1:17 pm
Baadhi ya wafanyabiashara waeleza jinsi wanavyonufaika
Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda katika soko la sabasaba jijini dodoma wameelezea namna wanavyonufaika na biashara ya kuuza matunda. Na Thadei Tesha. Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda katika soko la sabasaba jijini dodoma wameelezea namna wanavyonufaika na biashara ya kuuza…
22 February 2023, 4:40 pm
Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda waomba eneo la soko
Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali wilayani humo kuwatengea eneo rasmi la kufanyia biashara. Na Bernad Magawa. Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wilayani Bahi mkoani Dodoma wameiomba serikali wilayani humo kuwatengea eneo rasmi la kufanyia…
20 February 2023, 6:09 pm
Madereva kirikuu walalamika kutozwa faini mara kwa mara
Gari ndogo aina ya kirikuu zimekuwa zikifanya shughuli zao katika maeneo mbalimbali jijini hapa ambapo shughuli hiyo imekuwa ikiwasaidia kwa kiasi kikubwa katika kupata fursa mbalimbali na kuendesha shughuli zao za kimaisha. Na Thadei Tesha. Madereva wa gari ndogo za …
20 February 2023, 11:18 am
Kusajili alama ya bishara kumetajwa kuwa na umuhimu mkubwa
Kusajili alama ya bishara kumetajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kusaidia kuchangia ongezeko la wafanyabiashara kujitangaza zaidi na kukuza biashara zao. Na Thadei Tesha. Hii ni kwa mujibu wa baadhi ya wafanyabiashara jijini dodoma ambapo wamesema upo umuhimu mkubwa kwa…
10 February 2023, 12:29 pm
Wafanyabiashara Wapongeza Ukaguzi wa Mizani
KATAVI Wafanyabiashara Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamepongeza zoezi la ukaguzi wa mizani Wanazotumia katika biashara. Wakizungumza na Mpanda radio Fm wafanyabiashara hao Wakati wa zoezi la ukaguzi katika ofisi za kata ya Makanyagio likiendelea wamesema zoezi la ukaguzi wa…
8 February 2023, 7:08 pm
Huduma ya nishati ya Mafuta ya Petrol na Diesel yarejea
Ikiwa ni wiki la tatu tangu kituo cha Dodoma Fm kuripoti kuhusiana na adha ya kukosekana kwa huduma ya nishati ya Mafuta ya Petrol na Diesel kwa zaidi ya miezi mitatu katika kituo cha Princes Muro kituo pekee kinachotoa huduma…
7 February 2023, 7:33 pm
Fettilicious Kiboko ya Vitambi awataka vijana kutokata Tamaa ya kufanya biashara…
Ni vyema Mfanyabiashara wa biashara za Mtandaoni ukawa na lugha nzuri kwa wateja wako ili kuongeza wigo wa wateja wapya. Na Ansigary Kimendo Vijana na wanawake wajasiriamali Manispaa ya Iringa wametakiwa kutohofia kutangaza biashara zao kupitia Mitandao ya Kijamii kwani…
7 February 2023, 12:39 pm
Wafanyabiashara walalamikia hali ya soko Ihumwa
Wafanyabiashara katika soko la ihumwa jijini dodoma wameiomba serikali kutengeneza miundombinu ya soko hilo kutokana na eneo wanalotumia kwa sasa kutokutosheleza mahitaji. Na Thadei Tesha. Ni katika soko la ihumwa jijini dodoma ambapo baadhi ya wafanyabiashara katika soko hili wanasema…