Ardhi
9 December 2024, 8:19 pm
TFS yahimiza kutunza mazingira kwa kupanda miti
Maadhimisho ya miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kiwilaya Sengerema yamefanyika shule ya Msingi Lumeya katika halmashauri ya Buchosa ambapo miti 2000 imepandwa kama kumbukumbu ya maadhimisho hayo mwaka huu. Na;Emmanuel Twimanye Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania (TFS)…
14 October 2024, 10:49 am
Rais Samia atoa tuzo kwa GGML ushiriki bora wa maonesho Geita
Oktoba 13, 2024 yamehitimishwa rasmi maonesho ya 7 ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini ambayo yalikuwa yakiendelea katika viwanja vya EPZA mjini Geita tangu Oktoba 02, 2024. Na: Ester Mabula – Geita Rais wa Jamhuri ya muungano wa…
2 September 2024, 19:01
Taharuki sekondari Mbeya day kisa mzungu kugawa biskuti
Wakati serikali na jamii kwa ujumla ikipambana na mmonyoko wa maadili unaosababisha masuala ya ushoga kwa vijana wengi baadhi ya watu wamekuwa wakipuuza Hali hiyo inajitokeza katika moja ya shule Mbeya ambapo mtu asiyefahamika amebainika akigawa biskuti zinazodhaniwa kutokuwa salama.…
18 January 2024, 9:23 am
Wakulima wakosa elimu ya upimaji wa Udongo
Kata ya Handali ni wananchi 5 pekee ndio waliweza kukamilisha zoezi la upimaji udongo wa mashamba yao licha ya kipimo hicho kufanyika bure bila malipo katika ofisi za Wilaya ya Chamwino. Na Victor Chigwada. Imeeezwa kuwa wakulima wengi wamekosa elimu…
15 January 2024, 8:56 pm
Familia yakumbwa na taharuki vitisho vya kuvunjiwa nyumba yao
Kesi hiyo kwa sasa ipo katika ofisi za ardhi za halmsahauri ya jiji la Dodoma ambapo Dodoma Tv Itaendelea kufatilia sakata hilo ili kujua hatma yake. Na Fred Cheti.Familia moja katika kijiji cha Vikonje Wilaya ya Dodoma Mjini Mkoani Dodoma…
5 January 2024, 7:26 am
Wakulima Iringa, Morogoro kunufaika na Mpango wa CCROs kutoka TAGRODE
Na Adelphina Kutika Wakulima wadogowadogo na wafugaji kutoka vijiji vinne vya mikoa ya Iringa na Morogoro wanaenda kunufaika na mipango wa matumizi bora ya ardhi na hatimiliki za kilmila (CCROs) baada la Shirika la Tanzania Grassroots Oriented Development (TAGRODE) la…
4 January 2024, 13:51
Kaya zaidi ya 300 hazina mahali pa kuishi Uvinza
Wananchi kutoka katika kaya zaidi ya 300 katika kitongoji cha Kazaroho Kijiji cha Chakuru wilaya ya Uvinza hazina mahali pa kuishi baada ya serikali kuwaondoa katika maeneo waliyokuwa wakiishi tangu mwaka 2021 ambayo ni sehemu ya ya ranchi ya Uvinza.…
30 December 2023, 08:52
Dkt.Tulia alivyombananisha afisa mipango miji mbeya kisa eneo la kanisa
Na Hobokela Lwinga Mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka 15 kati ya kanisa la Gofan, Jiji la Mbeya na kata ya Isanga, umechukua sura mpya baadaya Afisa mipango miji wa Jiji la Mbeya kukosa majibu ya namna walivyotwaa…
13 December 2023, 8:17 pm
Wakazi wa Azimio waombwa kuwa watulivu sakata la mgogoro wa ardhi
Hivi karibuni Waziri wenye dhamana ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Mh.Jerry Silla alielekeza watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha ndani ya siku mia moja kuanzia Sept 4-2023 wanatatua migogoro ya ardhi kwa kadri ya uwezo wa nafasi…
10 December 2023, 6:20 pm
Diwani awatuliza wananchi wenye hasira kali
Wananchi wa kijiji cha mkombozi wataka kubomoa nyumba ya mwananchi mmoja anayedaiwa kuvamia eneo la kijiji. Na Elizabeth Mafie Diwani wa kata ya Masama Kusini Cedrick Pangani amewataka wananchi wa kijiji cha Mkombozi Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kusitisha zoezi la…