Radio Tadio

Ajira

8 October 2023, 9:24 am

CCWT, benki kuingia makubaliano ya kukopesha wakulima, wafugaji

Vijana wasomi nchini wametakiwa kubadili fikra za kuendelea kusubiri kuajiriwa serikalini na badala yake wachangamkie fursa za ajira  zaidi ya 500,000 zilizopo kwenye sekta ya kilimo na ufugaji. Na Alex Sayi Chama Cha Wafugaji Tanzania CCWT kimebainisha kuwa kinaendelea na…

21 September 2023, 16:17

Walimu 20 Mbeya kunufaika na mafunzo, kupatiwa ajira

Kutokana na vijana wengi kuwa na taaluma za fani mbalimbali bado suala la ajira limekuwa changamoto kwa makundi mbalimbali ya vijana hivyo wadau wanapaswa kuangalia hilo hasa walio kwenye sekta binafsi kutoa fursa ya ya ajira kwa vijana hao Na…

30 May 2023, 4:58 pm

Vijana walalamika kukosa mitaji ya kujiajiri

Pamoja na serikali kutenga mikopo ya 10% kwa ajili ya vijana , akina mama na walemavu, bado kuna ugumu katika kupata mikopo hiyo. Na Bernad Magawa Katika kuhakikisha kuwa vijana hapa nchini wanajitengenezea ajira wenyewe badala ya kusubiri kuajiriwa, baadhi…

24 May 2023, 6:05 pm

Wasomi washauriwa kutokuchagua kazi

Peter ametoa wito kwa vijana kupambana bila kuchagua kazi ilimradi iwe halali na isiyo na madhara kiafya. Na Bernad Magawa . Vijana wasomi wilayani Bahi mkoani Dodoma wameshauriwa kuacha kuchagua kazi za kufanya badala yake wajikite katika kutengeneza ajira binafsi…

9 May 2023, 2:07 pm

Vijana Bahi watakiwa kujiajiri

Mtaji wa kutosha kwaajili ya kuendesha kiwanda hicho unatajwa kuwa changamoto kwa vijana hao. Na Bernad Magawa Ili kupunguza tatizo la kukosekana kwa ajira za kutosheleza vijana wote wenye sifa za kuajiriwa hapa nchini, mafundi Seremala wilayani Bahi wamewaasa vijana…

24 March 2023, 7:14 pm

Pinda aombwa kutatua uhaba wa watumishi ofisi za ardhi.

KATAVIKamishna wa ardhi mkoa wa katavi amemuomba Naibu wa Ardhi Nyumba Maendeleo na Makazi Geofrey Pinda kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi katika ofisi za ardhi. Akizungumza Kamishna wa ardhi Geogrey Martin amesema idara ya ardhi imekuwa na uhaba wa…

9 March 2023, 3:46 pm

Madereva wa Bodaboda wahamasisha vijana kujiajiri

Madereva wa Bodaboda wilayani Bahi Mkoani Dodoma wamesema kazi wanayoifanya ni kazi rasmi na kuwahamasisha vijana wasio na ajira kuacha kukaa vijiweni bali watafute hata kazi ya bodaboda ili wajikimu kimaisha. Na Benard Magawa. Madereva wa Bodaboda wilayani Bahi Mkoani…