Ajali
5 February 2024, 5:15 pm
Mtoto afariki kwa kutumbukia kwenye shimo la choo mjini Sengerema
Wananchi mjini Sengerema wametakiwa kufunika au kufukia mashimo yaliowazi ili kuepusha matukio ya watoto kutumbukia na atakae kaidi sheria kali zitachukuliwa dhidi yake. Na:Tumain John Mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 5 mkazi wa mtaa Geita road kata ya…
1 February 2024, 5:54 pm
Katavi: Wachimbaji waaswa kuchukua tahadhari migodini kipindi cha mvua
“Kaimu kamanda Geofrey Mwambungu amesema kuwa kuna ajali nyingi hutokea katika maeneo ya Migodini kipindi cha mvua”. Picha na Gladness Richard. Na Gladness Richard-Katavi Wachimba wa madini mkoani Katavi wameshauliwa kuchukua tahadhali kabla hawajaingia kwenye Migodi katika kipindi hiki cha…
30 January 2024, 2:32 pm
Mlinzi achinjwa na watu wasiojulikana usiku Sengerema
Matukio ya walinzi kuuawa mjini Sengerema yamekuwa yakijirudia mara kwa mara kila mwaka jambo hili limekuwa likihusishwa na imani za kishirikina pamoja na wivu wa kimapenzi. Na;Said Mahera Mtu mmoja anaesadikiwa kuwa ni mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya Mwasenda …
23 January 2024, 18:19
Mwananchi asombwa na maji Songwe, mwili haujulikani ulipo
Na Deus Mellah Mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kanary Jaribu Haonga mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa kitongoji cha Iwagamoyo kata Itumpi mkoani Songwe amesombwa na maji wakati akijaribu kuvuka mto Mlowo eneo la kijiji cha Iyenga ni…
18 January 2024, 4:47 pm
Akatwa panga na mpwa wake kisa deni la elfu 80
Matukio ya ndugu wa familia kuuana na kujeruhiana kisa mali yamekuwa yakitajwa zaidi nchini ambapo katika wilaya ya sengerema mnamo mwezi October.2023 mtu mmoja aliuwawa na ndugu zake katika kijiji cha Ilunda kata ya Ngoma wakigombania shamba la urithi, Vivyo…
18 January 2024, 11:23
Matukio 53 ya ajali yaripotiwa kutokea mwaka 2023 Mbeya
Na Ezekiel Kamanga Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya SF Malumbo Ngata ametoa taarifa ya miezi sita ya matukio mbalimbali hamsini na tatu yalliyoripotiwa Mkoani Mbeya likiwemo la vifo vya watoto wawili waliofariki baada kutumbukia kisima…
18 January 2024, 8:25 am
Mwanafunzi afariki kwa kugongwa na gari katika kivuko
Siku ya Jumapili Mtoto Abia akiwa na wenzake Sita Majira ya Saa tisa mchana wakiwa wanatoka kanisani aligongwa na gari wakati akijaribu kuvuka na mtoto mwingine aitwae Maria ambae yeye alifariki papo hapo. Na Fred Cheti.Hatimae Mazishi ya Mtoto Abia…
16 January 2024, 3:47 pm
Afariki kwa kupigwa na radi-Sengerema
Baadhi ya watu wamekua na tabia ya kufanya kazi kwenye mvua, jambo ambalo linatajwa kuwa ni hatari sana, na katika halmashauri ya wilaya ya Sengerema mwanamke mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi akiwa shambani kuvuna mahindi wakati mvua ikiwa…
16 January 2024, 09:53
Wanafunzi 11 wa darasa la 7 wanusurika kifo baada ya kupigwa na radi Iringa
Mvua
15 January 2024, 3:23 pm
Wanafunzi 11, mwalimu wapigwa na radi Iringa
Na Godfrey Mengele Jumla ya wanafunzi 11 na mwalimu mmoja wa shule ya Msingi Uyole iliyopo Halmashauri ya manispaa ya iringa wamepigwa na radi asubuh ya leo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa…