Radio Tadio

Afya

11 January 2024, 7:58 pm

Nini hupelekea mwanamke kujifungua watoto pacha.

Daktari Halima pamoja na wataalamu wengine wa afya wanawashauri akina mama kuwa na utaratibu wa kuhudhuria kliniki ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo suala hili. Na Thadei Tesha.Kufuatia hivi karibuni Mwanamke mmoja kujifungua watoto mapacha wanne katika hospitali ya Mkoa…

11 January 2024, 1:10 pm

Bunda wapewa tahadhari ugonjwa wa Kipindupindu

Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewata wananchi wilayani Bunda kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa kipindupindu baada ya kuripotiwa mikoa jirani. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amewata wananchi wilayani Bunda kuchukua tahadhari ya ugonjwa…

10 January 2024, 19:28

Mpango wa msindikizaji unavyopunguza vifo vya mama na mtoto

Wananchi wa halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma, wamesifu huduma ya msindikizaji mama mjamzito katika vituo vya afya kuwa imesaidia kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto vinavyotokea wakati wa kujifungua. Wakizungumza katika kituo cha afya Kiganamo kilichoko halmashauri ya…

10 January 2024, 6:25 pm

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhali ya kipindupindu

Changamoto ya kipindupindu imetajwa kuenea kwa kasi zaidi hasa kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa ikianzia katika wilaya ya Bariadi mkoa wa Simiyu, ambapo mpaka sasa katika mkoa wa Mwanza wamebainika wagonjwa wa kipindupindu 27 kwenye maeneo ya wilaya ya…

9 January 2024, 18:30

Zahanati ya Rufumbi wilayani Rungwe mbioni kukamilika

Na mwandishi wetu Hatua ya ukamilishaji katika zahanati ya Lufumbi kata ya Masoko inatoa fursa kwa wakazi wa kijiji hiki kupata huduma ya matibabu karibu na makazi yao. Zahanati hii imejengwa kwa nguvu za wananchi huku Halmashauri ikitoa kiasi cha…

9 January 2024, 8:43 am

Mwanamke akutwa amefariki kitandani kwake

Matukio ya watu kukutwa wamefariki Dunia yanazidi kushika kasi wilayani Sengerema ambapo baadhi yao wanadai yanasababishwa na msongo wa mawazo pamoja na ugumu wa maisha kwa watu jambo lililopelekea mwenyekiti wa mtaa wa Migombani wilayani hapo kuwataka wananchi kuwa na…